House4Sale City Center: 4th Floor 3 Bdrm Apartment Inauzwa - Dar

BongoLocate

JF-Expert Member
Dec 12, 2016
480
672
• Direction: Kisutu
• Document: hati
• Price: TZS milioni 200
.
✓ ni ghorofa ya 4
✓ ina lift
✓ inauzwa bila samani (unfurnished)
✓ vyumba master 1 & kawaida 2; public washroom; sebule; jiko lenye makabati; balkoni
✓ feni za juu; maji moto bafuni; madirisha vioo
✓ wafanya usafi nje na ngazi
✓ ulinzi masaa 24
.
Call/Watsap: +255 767 15 77 88
.
In Real Estate We Connect

20240803_161540.jpg
 
Hiyo picha ya rangi ndio apartment Mkuu ? Wafanya biashara wekeni picha mtavutia wateja
 
Gharama za hao ulinzi na hao wafanya usafi zipo covered kwenye hiyo milioni 200 au nitakuwa nawalipa tena kila mwezi?
 
• Direction: Kisutu
• Document: hati
• Price: TZS milioni 200
.
✓ ni ghorofa ya 4
✓ ina lift
✓ inauzwa bila samani (unfurnished)
✓ vyumba master 1 & kawaida 2; public washroom; sebule; jiko lenye makabati; balkoni
✓ feni za juu; maji moto bafuni; madirisha vioo
✓ wafanya usafi nje na ngazi
✓ ulinzi masaa 24
.
Call/Watsap: +255 767 15 77 88
.
In Real Estate We Connect

View attachment 3060642
Kuna rangi zinaweza kuharibu biashara
 
Back
Top Bottom