Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,626
- 40,526
Kama sikosei aliyeimba Tutakukumbuka daima milele ni GK, huu mwingine ni wa mheshimiwa Temba
Chorus kaimba TID japokuwa wimbo ni wa GK.
Kama sikosei aliyeimba Tutakukumbuka daima milele ni GK, huu mwingine ni wa mheshimiwa Temba
Hawatuwezi beat majan aliitendea haki!!Chorus Kali
Unanitega - mwana fa
Asanteni kwa kuja - mwana fa
She got gwan - ngwea
Mikasi - ngwea feat feruzi
Chochote utapata - klynn
Dar mpaka Moro - tmk
Twende zetu - chege
We ni mchizi wangu remix - nako 2 nako
Hawatuwezi - nako 2 nako.
Nipo mstari wa Mbele - kalapina
Nitaendelea
Mkuu hii nyimbo no 2 inaitwaje kama unayo naikubali sana.No 1
Maji yakishamwagika hayazoleki
Maji yakishamwagika hayazoleki
Maisha umeyachezea sasa binti unalia
Sister Sister....
No 2
Mimi sasa nasonga mbele
Maisha yangu bila ya wewe
Nawaachia hao wenzangu
Wajaribu kuishi na wewe
Umasikini Mimi sitauweza
Na wala siwezi kulala na njaa
Heri kua kifaranga cha kuku
Mbele yako we we bwana mwewe...
Ngoma inaitwa nasonga mbele ya dada mmoja anaitwa V2 kutoka hardbelt record ya Zanzibar.Mkuu hii nyimbo no 2 inaitwaje kama unayo naikubali sana.
Ok asante mkuu dah safi sana hii nyimbo.Ngoma inaitwa nasonga mbele ya dada mmoja anaitwa V2 kutoka hardbelt record ya Zanzibar.
Nasonga mbele - V2
Enjoy mkuu!
Wimbo WA dingi naona kama hauna chorus mkuuBongo Dar es Salaam - Prof J feat J dee
Dingi - Mandojo na Domokaya
Mtoto Idd - Juma Nature
Mtoto wa Geti kali - Inspector