Is this a ryt channel..Sales Man, he must be Chinese.
Most of Chinese companies are wining tenders for construction of roads. So we need Chinese man to join our team. So as he can assist us to penetrate on this market of selling our products to Chinese companies. Because we faced the challenge of language difference to deal with those potential Chinese clients in Tanzania.Duuu tutasonga kweli kwa mwendo huu!!!! He must be chinese, nenda china wapo 1/3 ya population ya dunia.
Mchina mkuu, unakuta unaenda kutafuta soko inabidi uonane na workshop manager, site supervisor, au buyer ambaye ni mchina na kizungu hajui inakuwa kazi kweli kweli kwenye mawasiliano. Mkalimani ndio anakusaidia, hata ukichukua contact zake hunashindwa wasiliana naye.Unataka mchina au mmakonde ..
Hao wachina bongo utawapata wapi ? Au kapige matangazo kkoo kule wamelundikanaMchina mkuu, unakuta unaenda kutafuta soko inabidi uonane na workshop manager, site supervisor, au buyer ambaye ni mchina na kizungu hajui inakuwa kazi kweli kweli kwenye mawasiliano. Mkalimani ndio anakusaidia, hata ukichukua contact zake hunashindwa wasiliana naye.
hahaha nishdaaaaKatangaze hong kong huko
Mchina au MTU yeyote anayejua kichina na kingereza au kiswahiliMchina mkuu, unakuta unaenda kutafuta soko inabidi uonane na workshop manager, site supervisor, au buyer ambaye ni mchina na kizungu hajui inakuwa kazi kweli kweli kwenye mawasiliano. Mkalimani ndio anakusaidia, hata ukichukua contact zake hunashindwa wasiliana naye.
Nipe deal hiyo jamaa. Japo itabidi upande wa chinese nianze kukifuta vumbi kichina changu. Maana ni kitambo sana nimeacha ongea hii lugha.Kwa sasa tunaitaji Mtanzania anayejua kichina na kingereza