Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,061
- 16,752
Inawezekana kujengwa ila gharama zake ni za juu kidogo maana reli zitakazohitajika ni Continously Welded Rail (CWR) ili kupunguza vibration. Pia utahitajika umeme wa uhakika na pia bila kusahau gharama za electrification za rali husika, ingawa kuna uwezekano wa kutumia Natural Gas -Elecrical transmisin trains ambazo bado zipo kwenye development by Bombadier.
Kuanza na modification kwende SGR ni moja kati ya hatua muhimu za kuelekea unakopataka wewe!!
Mkuu naomba unifafanulie kidogo, unaposema locomotive za kutumia natural gas inamaanisha prime movers ndio zitatumia gas kama fuel having in mind kwamba transmission ibabaki ni electrical (traction motors). Je, ni injini za type zipi watazi install kwenye locos - i.e watafunga reciprocating au gas turbine?