China yailalamikia Korea kusini kuhusu mtambo wa marekani

acha ubishi wewe, rais wa china kampigia simu rais mpya wa s.korea na wakazungumzia huo mtambo. sasa rais mpya ana mwezi?
Huko kupinga kupo tokea mitambo inasimikwa so hilo jambo sio jipya heading badilisha acha upuuzi wa akili uandike kuhusu raisi mpya na sio kuhusu Thaad. Waandishi makajanja huandika Vichwa vya habari tofauti na jumbe ndani
 
Binafsi nachukulia onyo la China kama ni janja ya Ti Xing ping akishiriana na Rais mpya wa Korea Kusini kumpa kisingizio Rais wa korea kusini ili atakapo kutana na Trump amwambie kwamba Makombora hayo yanapingwa na raia wengi wa Korea Kusini pamoja na Serikali ya Uchina na Urusi atamshurutisha Trump asitishe/ondoe makombora hayo Korea Kusini.

Rais wa sasa wa Korea Kusini ni mzaliwa wa Korea Kasikasini ana ndugu zake wengi Korea kasikazini, hapendi kabisa pawepo mafarakano kati ya Korea mbili - juzi alisema anataka viwanda ambavyo vilikuwa mpakani mwa nchi hizi mbili vifunguliwe tena ili Wakorea Kasikazini waendelea kufanya kazi kwenye joint ventures zinazo milikiwa na nchi hizi mbili, hii inadhilisha wazi kwamba yeye anapenda yawepo maelewano baina ya Korea Kasikazini na Kusini amepanga kufanya ziara Korea Kasikazini - Amerika haipendelei Mataifa haya yaelewane sasa sijui watafanya nini ku contain Rais wa Korea kusini.
 
Huyo rais mpya kama atakuwa na mawazo hayo basi hatachukua round.
 
Huko kupinga kupo tokea mitambo inasimikwa so hilo jambo sio jipya heading badilisha acha upuuzi wa akili uandike kuhusu raisi mpya na sio kuhusu Thaad. Waandishi makajanja huandika Vichwa vya habari tofauti na jumbe ndani

kwa hiyo wewe unajua kuandika heading kuliko bbc?! haya hiyo hapo habari ya bbc ya tarehe 11/5/2017, una ubishi upi mpya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…