Cheyo Out, Lowassa In?

JINA la Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa, limeanza kuhusishwa na chama cha United Democratic (UDP), baada ya mmoja wa maswahiba wake kisiasa, Goodluck ole Medeye, kujiunga na chama hicho mwishoni mwa wiki iliyopita.

Lowassa hivi sasa ni mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015, aliwania urais kupitia mwamvuli wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).

Ole Medeye aliwahi kuwa Naibu Waziri katika Serikali ya Rais Jakaya Kikwete na alihamia Chadema baada ya Lowassa kuhamia chama hicho; akijulikana kwa muda mrefu kama mmoja wa watu wake wa karibu.

Lakini, Jumapili iliyopita, Medeye alitangaza kukihama Chadema; akikishutumu kwa ukosefu wa demokrasia ya ndani na pia kulaumu kitendo cha wabunge wa chama hicho kususia vikao vya Bunge la Tanzania vinavyoendelea mjini Dodoma.
Lowassa anaingiaje?

Raia Mwema limeambiwa na mmoja wa wabunge waliotajwa kuwa kambi ya Lowassa kabla ya uchaguzi wa mwaka jana lakini sasa amebaki kwenye Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa suala la ole Medeye kuhamwa halipaswi kuangaliwa kirahisi.

“Mimi nimefanya kazi kwa karibu na Lowassa kwa miaka zaidi ya 10 na ninamfahamu vizuri sana. Mambo yake huwa hafanyi mwenyewe bali huwatumia watu kwanza kusoma upepo.

“ Ole Medeye hawezi kukisema vibaya chama ambacho anajua Lowassa atakaa muda mrefu. Lowassa ni lazima alijua kuhama kwa Medeye mapema na wao wawili ndiyo wanaojua kitakachokuja baadaye,”alisema mbunge huyo wa CCM.

Februari mwaka huu, baadhi ya waliokuwa viongozi waandamizi ndani ya CCM waliohama na Lowassa kwenda Chadema, walizungumza na gazeti hili kueleza kutoridhishwa kwao na kutopewa nafasi zozote ndani ya chama hicho.

Kuna sababu nne zinatajwa na watu wanamfahamu mienendo ya Lowassa kuwa ndizo zinazoweza kumfanya kuhamia UDP.

Nguvu ya Ukanda wa Ziwa
Ingawa UDP ni chama cha kitaifa, nguvu yake kubwa ya kisiasa imetajwa kuwa katika mikoa ya Ukanda wa Ziwa anakotoka Mwenyekiti wa chama hicho, John Momose Cheyo.

Gazeti hili limeambiwa kwamba uchambuzi uliofanywa na kambi ya Lowassa baada ya uchaguzi wa mwaka 2015, umeonyesha kwamba angeweza kushinda urais endapo angeshinda kwenye eneo hilo.

Aliyekuwa mgombea wa CCM kwenye uchaguzi huo, Rais John Magufuli, anatoka katika eneo hilo lenye watu wengi zaidi hapa nchini, na alipata kura nyingi huko. “ Lowassa anajiandaa na urais mwaka 2020 ambako Magufuli anatarajiwa kuwania tena nafasi hiyo. Anajua kwamba kule Kaskazini, Kusini, Nyanda za Juu na Mashariki anaweza kushinda.

Sasa ana mkakati wa kugawa kura za Ukanda wa Ziwa ili ashinde kirahisi wakati huo ukifika,” gazeti hili limeambiwa na vyanzo vyake.

Vyanzo vya Raia Mwema vinamtaja ole Medeye kama ‘Yohana Mbatizaji’ – jina kutoka katika simulizi za vitabu vya dini ya Kikristo, aliyeelezwa kuletwa duniani kuandaa mapito ya Masiha.

“ Kazi ya ole Medeye ni sawa na ile aliyoifanya Yohana Mbatizaji kwenye Biblia. Yeye amekwenda kuangalia mazingira na kuandaa njia kwa ajili ya Lowassa kabla hajafikia uamuzi yake ya mwisho,” gazeti limeambiwa.

Gazeti hili limeambiwa pia kwamba Lowassa ameona kuwa uwezekano wa yeye kuwa Mwenyekiti wa Chadema na kukiendesha kwa mujibu wa maono yake ni mdogo kwa sababu ya nguvu ya kisiasa ya Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe.

Akizungumza kwa masharti ya kutotajwa jina, mmoja wa wabunge vijana wa Chadema aliyezungumza na gazeti hili kwa masharti ya kutotajwa majina, alisema anafahamu kuna hofu miongoni mwa wana CCM waliohamia Chadema na Lowassa kuwa mbunge huyo wa zamani wa Monduli anaweza kunyimwa kuwania nafasi ya urais mwaka 2020 kwa sababu zozote zile.

“ Wanatoa mfano wa Augustine Mrema na NCCR Mageuzi. Kwamba Mrema alitumika na chama hicho kukipa kura na wabunge wengi mwaka 1995 lakini akafanyiwa fitna hadi akahama chama kabla ya uchaguzi wa mwaka 2000. Hili wanalizungumza mara nyingi tu,” alisema.

Kwa mujibu wa Katiba ya UDP, chama hicho kinatarajiwa kufanya Mkutano wake Mkuu Septemba mwaka huu ambako haijajulikana kama Cheyo atawania nafasi hiyo au la.

Akizungumza na Raia Mwema kuhusu endapo atawania tena nafasi yake hiyo au la, Cheyo alisema; “Chama chetu ni chama cha kidemokrasia. Bado miezi mitatu kabla ya Mkutano Mkuu wa chama. “ Naweza kubaki kuwa Mwenyekiti au la. Kama wanachama wa UDP watasema wanataka kuendelea na mimi kama kiongozi wao, siwezi kukataa. Kama mwenyewe nitaamua nisigombee naweza pia kutokuwa Mwenyekiti. Bado miezi mitatu tu na yote yatakuwa hadharani.

Kuhusu kama chama chake kitakuwa tayari kumpokea Lowassa endapo ataamua kuhamia huko, Cheyo alisema; “ UDP ni chama cha wananchi wote. Hatuna ubaguzi wa kabila, rangi au dini. Kama Lowassa akitaka kuhamia kwenye chama chetu, atakaribishwa kwa mikono miwili.
Katika mazungumzo hayo, Cheyo hakukana wala kuthibitisha kuwa amejiandaa kung’atuka Uenyekiti wake wakati wa Mkutano Mkuu huo.

Kwa upande wa ole Medeye, yeye aliliambia Raia Mwema kwamba amehamia UDP kwa vile, kwa maoni yake, chama hicho kina sera nzuri na si cha “kiharakati” kama vilivyo vyama vingine hapa nchini. “ Mimi nimekuwa kwenye siasa tangu mwaka 1968. Kabla ya kufanya uamuzi wa kujiunga na UDP nilifanya utafiti wa kufahamu ni chama kipi kitanifaa. Hapa nilipohamia ndipo patanifaa,” alisema.

Hata hivyo, alisema hadhani kama Lowassa atajiunga na UDP kwani inaonekana watu wa Chadema “wanamsikiliza” kuliko ilivyokuwa kwake. “ Mimi ni rafiki wa Lowassa na kwa kweli wakati nahamia Chadema, lengo langu lilikuwa kwamba nisimwache akawe mpweke kule. Nikamfuata lakini sidhani kama sasa ananihitaji. Atabaki kuwa rafiki yangu lakini mimi siasa za Chadema zimenishinda,” alisema.

Hata hivyo, kuna taarifa pia kwamba ole Medeye anajiandaa kuwania nafasi ya ubunge katika Bunge la Afrika Mashariki katika uchaguzi utakaofanyika mwakani.

Kwa vile mwanasiasa yeyote mwenye kuungwa mkono na Ukawa hadhaniwi kupitishwa na wabunge wa CCM walio wengi bungeni, ameamua kuhama huko mapema ili awanie kwa tiketi ya UDP ambayo haiko Ukawa.

Taarifa nyingine ambazo Raia Mwema imezipata ni kwamba baadhi ya wana CCM waliohama na Lowassa wako kwenye mazungumzo na vyama vingine vya upinzani kwa ajili ya kujiunga navyo.

Mmoja wa wanasiasa wanaotajwa kufanya mazungumzo hayo na vyama vingine vya upinzani ni John Guninita, ambaye aliwahi kuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam na Umoja wa Vijana wa CCM.

Chanzo: Raia Mwema
Haya magazeti mengine
 
“ Ole Medeye hawezi kukisema vibaya chama ambacho anajua Lowassa atakaa muda mrefu.

Lowassa ni lazima alijua kuhama kwa Medeye mapema na wao wawili ndiyo wanaojua kitakachokuja baadaye,”alisema mbunge huyo wa CCM.

Februari mwaka huu, baadhi ya waliokuwa viongozi waandamizi ndani ya CCM waliohama na Lowassa kwenda Chadema, walizungumza na gazeti hili kueleza kutoridhishwa kwao na kutopewa nafasi zozote ndani ya chama hicho.

Kuna sababu nne zinatajwa na watu wanamfahamu mienendo ya Lowassa kuwa ndizo zinazoweza kumfanya kuhamia UDP.
Nguvu ya Ukanda wa Ziwa

Ingawa UDP ni chama cha kitaifa, nguvu yake kubwa ya kisiasa imetajwa kuwa katika mikoa ya Ukanda wa Ziwa anakotoka Mwenyekiti wa chama hicho, John Momose Cheyo.

Gazeti hili limeambiwa kwamba uchambuzi uliofanywa na kambi ya Lowassa baada ya uchaguzi wa mwaka 2015, umeonyesha kwamba angeweza kushinda urais endapo angeshinda kwenye eneo hilo.

Aliyekuwa mgombea wa CCM kwenye uchaguzi huo, Rais John Magufuli, anatoka katika eneo hilo lenye watu wengi zaidi hapa nchini, na alipata kura nyingi huko.

“ Lowassa anajiandaa na urais mwaka 2020 ambako Magufuli anatarajiwa kuwania tena nafasi hiyo. Anajua kwamba kule Kaskazini, Kusini, Nyanda za Juu na Mashariki anaweza kushinda. Sasa ana mkakati wa kugawa kura za Ukanda wa Ziwa ili ashinde kirahisi wakati huo ukifika,” gazeti hili limeambiwa na vyanzo vyake.

Vyanzo vya Raia Mwema vinamtaja ole Medeye kama ‘Yohana Mbatizaji’ – jina kutoka katika simulizi za vitabu vya dini ya Kikristo, aliyeelezwa kuletwa duniani kuandaa mapito ya Masiha.

“ Kazi ya ole Medeye ni sawa na ile aliyoifanya Yohana Mbatizaji kwenye Biblia. Yeye amekwenda kuangalia mazingira na kuandaa njia kwa ajili ya Lowassa kabla hajafikia uamuzi yake ya mwisho,” gazeti limeambiwa.

Gazeti hili limeambiwa pia kwamba Lowassa ameona kuwa uwezekano wa yeye kuwa Mwenyekiti wa Chadema na kukiendesha kwa mujibu wa maono yake ni mdogo kwa sababu ya nguvu ya kisiasa ya Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe.

Akizungumza kwa masharti ya kutotajwa jina, mmoja wa wabunge vijana wa Chadema aliyezungumza na gazeti hili kwa masharti ya kutotajwa majina, alisema anafahamu kuna hofu miongoni mwa wana CCM waliohamia Chadema na Lowassa kuwa mbunge huyo wa zamani wa Monduli anaweza kunyimwa kuwania nafasi ya urais mwaka 2020 kwa sababu zozote zile.

“ Wanatoa mfano wa Augustine Mrema na NCCR Mageuzi. Kwamba Mrema alitumika na chama hicho kukipa kura na wabunge wengi mwaka 1995 lakini akafanyiwa fitna hadi akahama chama kabla ya uchaguzi wa mwaka 2000. Hili wanalizungumza mara nyingi tu,” alisema.

Kwa mujibu wa Katiba ya UDP, chama hicho kinatarajiwa kufanya Mkutano wake Mkuu Septemba mwaka huu ambako haijajulikana kama Cheyo atawania nafasi hiyo au la.
Akizungumza na Raia Mwema kuhusu endapo atawania tena nafasi yake hiyo au la, Cheyo alisema; “Chama chetu ni chama cha kidemokrasia. Bado miezi mitatu kabla ya Mkutano Mkuu wa chama.

“ Naweza kubaki kuwa Mwenyekiti au la. Kama wanachama wa UDP watasema wanataka kuendelea na mimi kama kiongozi wao, siwezi kukataa. Kama mwenyewe nitaamua nisigombee naweza pia kutokuwa Mwenyekiti. Bado miezi mitatu tu na yote yatakuwa hadharani.
Kuhusu kama chama chake kitakuwa tayari kumpokea Lowassa endapo ataamua kuhamia huko, Cheyo alisema; “ UDP ni chama cha wananchi wote. Hatuna ubaguzi wa kabila, rangi au dini.

Kama Lowassa akitaka kuhamia kwenye chama chetu, atakaribishwa kwa mikono miwili.
Katika mazungumzo hayo, Cheyo hakukana wala kuthibitisha kuwa amejiandaa kung’atuka Uenyekiti wake wakati wa Mkutano Mkuu huo.

Kwa upande wa ole Medeye, yeye aliliambia Raia Mwema kwamba amehamia UDP kwa vile, kwa maoni yake, chama hicho kina sera nzuri na si cha “kiharakati” kama vilivyo vyama vingine hapa nchini.

“ Mimi nimekuwa kwenye siasa tangu mwaka 1968. Kabla ya kufanya uamuzi wa kujiunga na UDP nilifanya utafiti wa kufahamu ni chama kipi kitanifaa. Hapa nilipohamia ndipo patanifaa,” alisema.
Hata hivyo, alisema hadhani kama Lowassa atajiunga na UDP kwani inaonekana watu wa Chadema “wanamsikiliza” kuliko ilivyokuwa kwake.

“ Mimi ni rafiki wa Lowassa na kwa kweli wakati nahamia Chadema, lengo langu lilikuwa kwamba nisimwache akawe mpweke kule. Nikamfuata lakini sidhani kama sasa ananihitaji. Atabaki kuwa rafiki yangu lakini mimi siasa za Chadema zimenishinda,” alisema.

Hata hivyo, kuna taarifa pia kwamba ole Medeye anajiandaa kuwania nafasi ya ubunge katika Bunge la Afrika Mashariki katika uchaguzi utakaofanyika mwakani. Kwa vile mwanasiasa yeyote mwenye kuungwa mkono na Ukawa hadhaniwi kupitishwa na wabunge wa CCM walio wengi bungeni, ameamua kuhama huko mapema ili awanie kwa tiketi ya UDP ambayo haiko Ukawa.

Taarifa nyingine ambazo Raia Mwema imezipata ni kwamba baadhi ya wana CCM waliohama na Lowassa wako kwenye mazungumzo na vyama vingine vya upinzani kwa ajili ya kujiunga navyo.
Mmoja wa wanasiasa wanaotajwa kufanya mazungumzo hayo na vyama vingine vya upinzani ni John Guninita, ambaye aliwahi kuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam na Umoja wa Vijana wa CCM.

Rai Mwema
 
Upuuzi mwingine jamani?! haya magazeti kama hayana cha kuandika muwe mnayachapisha angalau mara moja kwa wiki, si lazima yatoke kila siku.

Hata lowasa kuja cdm mlisema propaganda ,
Dr slaa alivyokataa kula matapishi mlisema na kujiuzulu mlisema
Propaganda
Mbowe kugawia 5b mlisema propaganda
Ushauri ,kama huna cha kuchangia ni bora ukabaki kimya kam mtazamaji utakuja kuumbuka mkuu sio ni mchezo mchafu
 
JINA la Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa, limeanza kuhusishwa na chama cha United Democratic (UDP), baada ya mmoja wa maswahiba wake kisiasa, Goodluck ole Medeye, kujiunga na chama hicho mwishoni mwa wiki iliyopita.

Lowassa hivi sasa ni mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015, aliwania urais kupitia mwamvuli wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).

Ole Medeye aliwahi kuwa Naibu Waziri katika Serikali ya Rais Jakaya Kikwete na alihamia Chadema baada ya Lowassa kuhamia chama hicho; akijulikana kwa muda mrefu kama mmoja wa watu wake wa karibu.

Lakini, Jumapili iliyopita, Medeye alitangaza kukihama Chadema; akikishutumu kwa ukosefu wa demokrasia ya ndani na pia kulaumu kitendo cha wabunge wa chama hicho kususia vikao vya Bunge la Tanzania vinavyoendelea mjini Dodoma.
Lowassa anaingiaje?

Raia Mwema limeambiwa na mmoja wa wabunge waliotajwa kuwa kambi ya Lowassa kabla ya uchaguzi wa mwaka jana lakini sasa amebaki kwenye Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa suala la ole Medeye kuhamwa halipaswi kuangaliwa kirahisi.

“Mimi nimefanya kazi kwa karibu na Lowassa kwa miaka zaidi ya 10 na ninamfahamu vizuri sana. Mambo yake huwa hafanyi mwenyewe bali huwatumia watu kwanza kusoma upepo.

“ Ole Medeye hawezi kukisema vibaya chama ambacho anajua Lowassa atakaa muda mrefu. Lowassa ni lazima alijua kuhama kwa Medeye mapema na wao wawili ndiyo wanaojua kitakachokuja baadaye,”alisema mbunge huyo wa CCM.

Februari mwaka huu, baadhi ya waliokuwa viongozi waandamizi ndani ya CCM waliohama na Lowassa kwenda Chadema, walizungumza na gazeti hili kueleza kutoridhishwa kwao na kutopewa nafasi zozote ndani ya chama hicho.

Kuna sababu nne zinatajwa na watu wanamfahamu mienendo ya Lowassa kuwa ndizo zinazoweza kumfanya kuhamia UDP.

Nguvu ya Ukanda wa Ziwa
Ingawa UDP ni chama cha kitaifa, nguvu yake kubwa ya kisiasa imetajwa kuwa katika mikoa ya Ukanda wa Ziwa anakotoka Mwenyekiti wa chama hicho, John Momose Cheyo.

Gazeti hili limeambiwa kwamba uchambuzi uliofanywa na kambi ya Lowassa baada ya uchaguzi wa mwaka 2015, umeonyesha kwamba angeweza kushinda urais endapo angeshinda kwenye eneo hilo.

Aliyekuwa mgombea wa CCM kwenye uchaguzi huo, Rais John Magufuli, anatoka katika eneo hilo lenye watu wengi zaidi hapa nchini, na alipata kura nyingi huko. “ Lowassa anajiandaa na urais mwaka 2020 ambako Magufuli anatarajiwa kuwania tena nafasi hiyo. Anajua kwamba kule Kaskazini, Kusini, Nyanda za Juu na Mashariki anaweza kushinda.

Sasa ana mkakati wa kugawa kura za Ukanda wa Ziwa ili ashinde kirahisi wakati huo ukifika,” gazeti hili limeambiwa na vyanzo vyake.

Vyanzo vya Raia Mwema vinamtaja ole Medeye kama ‘Yohana Mbatizaji’ – jina kutoka katika simulizi za vitabu vya dini ya Kikristo, aliyeelezwa kuletwa duniani kuandaa mapito ya Masiha.

“ Kazi ya ole Medeye ni sawa na ile aliyoifanya Yohana Mbatizaji kwenye Biblia. Yeye amekwenda kuangalia mazingira na kuandaa njia kwa ajili ya Lowassa kabla hajafikia uamuzi yake ya mwisho,” gazeti limeambiwa.

Gazeti hili limeambiwa pia kwamba Lowassa ameona kuwa uwezekano wa yeye kuwa Mwenyekiti wa Chadema na kukiendesha kwa mujibu wa maono yake ni mdogo kwa sababu ya nguvu ya kisiasa ya Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe.

Akizungumza kwa masharti ya kutotajwa jina, mmoja wa wabunge vijana wa Chadema aliyezungumza na gazeti hili kwa masharti ya kutotajwa majina, alisema anafahamu kuna hofu miongoni mwa wana CCM waliohamia Chadema na Lowassa kuwa mbunge huyo wa zamani wa Monduli anaweza kunyimwa kuwania nafasi ya urais mwaka 2020 kwa sababu zozote zile.

“ Wanatoa mfano wa Augustine Mrema na NCCR Mageuzi. Kwamba Mrema alitumika na chama hicho kukipa kura na wabunge wengi mwaka 1995 lakini akafanyiwa fitna hadi akahama chama kabla ya uchaguzi wa mwaka 2000. Hili wanalizungumza mara nyingi tu,” alisema.

Kwa mujibu wa Katiba ya UDP, chama hicho kinatarajiwa kufanya Mkutano wake Mkuu Septemba mwaka huu ambako haijajulikana kama Cheyo atawania nafasi hiyo au la.

Akizungumza na Raia Mwema kuhusu endapo atawania tena nafasi yake hiyo au la, Cheyo alisema; “Chama chetu ni chama cha kidemokrasia. Bado miezi mitatu kabla ya Mkutano Mkuu wa chama. “ Naweza kubaki kuwa Mwenyekiti au la. Kama wanachama wa UDP watasema wanataka kuendelea na mimi kama kiongozi wao, siwezi kukataa. Kama mwenyewe nitaamua nisigombee naweza pia kutokuwa Mwenyekiti. Bado miezi mitatu tu na yote yatakuwa hadharani.

Kuhusu kama chama chake kitakuwa tayari kumpokea Lowassa endapo ataamua kuhamia huko, Cheyo alisema; “ UDP ni chama cha wananchi wote. Hatuna ubaguzi wa kabila, rangi au dini. Kama Lowassa akitaka kuhamia kwenye chama chetu, atakaribishwa kwa mikono miwili.
Katika mazungumzo hayo, Cheyo hakukana wala kuthibitisha kuwa amejiandaa kung’atuka Uenyekiti wake wakati wa Mkutano Mkuu huo.

Kwa upande wa ole Medeye, yeye aliliambia Raia Mwema kwamba amehamia UDP kwa vile, kwa maoni yake, chama hicho kina sera nzuri na si cha “kiharakati” kama vilivyo vyama vingine hapa nchini. “ Mimi nimekuwa kwenye siasa tangu mwaka 1968. Kabla ya kufanya uamuzi wa kujiunga na UDP nilifanya utafiti wa kufahamu ni chama kipi kitanifaa. Hapa nilipohamia ndipo patanifaa,” alisema.

Hata hivyo, alisema hadhani kama Lowassa atajiunga na UDP kwani inaonekana watu wa Chadema “wanamsikiliza” kuliko ilivyokuwa kwake. “ Mimi ni rafiki wa Lowassa na kwa kweli wakati nahamia Chadema, lengo langu lilikuwa kwamba nisimwache akawe mpweke kule. Nikamfuata lakini sidhani kama sasa ananihitaji. Atabaki kuwa rafiki yangu lakini mimi siasa za Chadema zimenishinda,” alisema.

Hata hivyo, kuna taarifa pia kwamba ole Medeye anajiandaa kuwania nafasi ya ubunge katika Bunge la Afrika Mashariki katika uchaguzi utakaofanyika mwakani.

Kwa vile mwanasiasa yeyote mwenye kuungwa mkono na Ukawa hadhaniwi kupitishwa na wabunge wa CCM walio wengi bungeni, ameamua kuhama huko mapema ili awanie kwa tiketi ya UDP ambayo haiko Ukawa.

Taarifa nyingine ambazo Raia Mwema imezipata ni kwamba baadhi ya wana CCM waliohama na Lowassa wako kwenye mazungumzo na vyama vingine vya upinzani kwa ajili ya kujiunga navyo.

Mmoja wa wanasiasa wanaotajwa kufanya mazungumzo hayo na vyama vingine vya upinzani ni John Guninita, ambaye aliwahi kuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam na Umoja wa Vijana wa CCM.

Chanzo: Raia Mwema
Lowassa bado anawanyima usingizi
 
Jilo Jina la hicho kipeperushi kingesomeka "RAIA MZUSHI" Ingependeza sana
Wazushi hawa:
13346587_292546764422929_2987088698017245239_n.jpg
13445642_1246878805324607_230643040285053931_n.jpg
 
Mwanahabari unahisi nguvu ya CDM katika kanda ya ziwa na UDP ipi ni kubwa?Hebu tujafili kwa kutumia statistical data za matokeo ay uchaguzi kuanzia 2005-2015 then tujadili hoja..
 
Huwezi jua nguvu ya UDP kwa kanda hiyo kwa sababu Cheyo hakutaka kupanua wigo wake wa kisiasa. Ila anakubalika.

Sasa kwa vile anakubalika anaweza tumika kueneza nguvu ya wengine.
 
Back
Top Bottom