kweleakwelea
JF-Expert Member
- Nov 29, 2010
- 3,072
- 1,544
Dude limewashwa...wanasema ukitupa.jiwe.kizani.....
Ambacho sizo alipaswa kujua ni kwamba haya mambo ni ya kisheria zaidi. Chenge alihusika katika kupitisha mikataba na makubaliano mbalimbali ya kulinda mikataba hiyo. Hata kama Chenge na kina BWM na wengine wengi walikosea, cha msingi ni kuvunja mikataba na si kuzuia operations; na kuvunja mikata ni mchakato mrefu. Vuta subira uone jinsi tutakavyo lipia hasara ya wawekezaji!Chenge wa kumuamini?
Mzee wa vijisenti
Sawa umeeleweka vizuri wewe pamoja na genge lako LA wanafikiTulisema mwanzo kuwa Raisi alifanya yake na huyu ni tapeli kwelikweli watanzania tuwe macho atatuibia sana
Swissme
No wajibu wake kufanya hivo. Na usiipandeAnataka pesa ya kujenga rail ya standard gauge, ili 2020 aonyeshe watu wake,
Ni Sawa tu Maana kodi kulipa ni wajibu wetu kwa maendeleo yetuWatanzania tuwe macho na huyu BABA BASHITE tutalipishwa tena kodi zetu kama tulivyolpishwa samaki.huyu jamaa sio mzima ni bora sasa watanzania tuchukue maamuzi magumu au tuangalie upande wa pili.
Swissme
Ewah! Inasikitisha!Hili tambala la Mbowe linaloitwa Tanzania daima baada ya kuhujumu Vita ya dawa za kulevya sasa wanataka wahujumu tena Vita zidi ya kuibiwa madini watanzania !!!!
Hivi ikibainika tume ilichemka,Muhongo atarudishiwa wizara!Rais kakurupuka au wewe ndo unakurupuka?
Rais ndo katoa report au tume?
Tume iliyoundwa haikuwa na uwezo wa kupata taarifa sahihi?
RIP ANDREW CHENGE!Chenge si ana hisa huko lazima alalamike baada ya economic nerves yake kuguswa
Umeliona Tanzania Daima tu Mtanzania hujalionaHili tambala la Mbowe linaloitwa Tanzania daima baada ya kuhujumu Vita ya dawa za kulevya sasa wanataka wahujumu tena Vita zidi ya kuibiwa madini watanzania !!!!