Msanii anayeunda kundi la TNC (Temba, sir nature na chege) chege amefunguka kuwa amestajabishwa na comment ya Sir Nature sina uhakika Yule ni nature mwenyewe kwenye social media kudai kalipwa laki 5 ameongea kuwa nyuma ya nature kuna watu wanampoteza afanye ujinga kwasababu sizani diamond anaweza kumlipa hiyo hela sisi wenzake hatujapewa hela kama hiyo iweje iwe yeye? Ameuliza kuna vitu havijakaa sawa yeye na watu ambao wapo nyuma yake.
NB: Wadau naona sakata linakuwa zito sijui tumuamini nani na nini maoni yenu
NB: Wadau naona sakata linakuwa zito sijui tumuamini nani na nini maoni yenu