Chapisho la Lionel Messi lavunja rekodi ya Dunia

Mr Bundi

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
326
420
Picha alizopost Messi baada ya kutwaa taji la Ubingwa wa Dunia akiwa na timu yake ya Taifa ya Argentina imevunja na kuweka rcord mpya ya Dunia baada ya kupendwa (kupata likes) zipatazo Milion 64.5 katika mtandao wa kijamii wa Instagram.

Record hiyo ilikuwa inashikiliwa na post ya yai (world-record-egg) iliyopostiwa mwaka 2019 ambapo hadi sasa ina jumla ya likes Million 57.1. Post ilyochapishwa na Christiano Ronaldo(CR7) akiwa na Lionel Messsi iliweka record ya kuwa post ya mwanamichezo yenye likes nyingi zaidi baada ya kufikisha likes million 42.1 kwenye mtandao huo wa Instagram.

Lakini record zote hizo zimevunjwa na post ya Messi na hivyo kumfanya awe binadamu wa kwanza kuwa na likes zaidi ya milion 64 katika mtandao wa Instagram.

Screenshot_20221220-223709_Instagram.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom