Channel 10 hongereni kwa Taarifa zenu, lakini boresheni TV yenu na uvaaji

Kuna wale wadada wa habari za biashara walikuwa wanapigilia pamba halafu wamejazia jazia,miguu saaafi.

Mtu wa camera alikuwa anawavuta kutokea mbaaali.....neema za Allah zinaonekana,baadae,nadhani kwa wivu tu,akaamua kuacha

Binafsi nilikuwa navutiwa na MARRY PETER,si kwa jicho hilo lililojaa uchokozi
 
Kweli kabisa channel ten kila kitu wako hovyo kabisa Siku moja kuna mdada anaitwa Ester alikuwa anasoma taarifa ya habari badala ya kusema watazamaji akasema watanzania yaani wote watangazaji hawajielewi pia Picha zao ziko hivyo kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…