Mara nyingi kunakuwa na ugumu sana kwa wazazi waislamu kukubali kumuoza binti yao kwa asiyekuwa mwislamu,hii inatokana na sheria za dini hiyo,imekataza kumuoza binti kwa watu ambao sheria imewaita"Ahlul Kitaabi"ambao ni Mayahudi na Wakristo(and the likes)kwa sababu kumuoza huko kuna uwezekano mkubwa mwanamke akaifuata dini ya mumewe(isiyokuwa islam) kitu ambacho kwenye uislamu ni "kufru" Kwa suala la wewe kusilimu ili umuoe huyo binti ni la kwako hilo sina jibu. Ila kama hawana misimamo mikali basi wanaweza kukubali ukamuoa huyo bint.Wadau miezi kadhaa iliyopita nilionana na binti mmoja ambaye nilitokea kumuelewa, niliomba mawasiliano na akanipa! Kwa muda huo sikuweza kujua kwa haraka kama ni muislam
Hivyo niliendelea kumzoea mpaka alipokubali kuingia katika mahusiano na mimi, kifupi moyo wangu umeridhika kwake na yeye anaonesha kuwa yupo hivyo!!
Kinachokuja kuniumiza kichwa ni huu utofauti wa dini ambao nimekuja kuujua baadaye, mi ni mkristo wa kawaida wala sina misimamo yeyote katika hii dini, pia kwao ni wale waislam wa ijumaa tu!
Ninachotaka kujua ni uzoefu kwa wale waliopiti mahusiano ya namna hii, je misimamo ya wenzetu wa upande wa pili ikoje? Wanaweza ruhusu nimuoe binti yao na kila mtu abaki na misimamo yake? Je nikiamua kusilimu ni changamoto gani zilizopo huko? Je kuna uwezekano wa yeye kubalika kuja upande wangu?
Nahitaji uzoefu maana naogopa kuzama alafu mwisho wa siku nikashindwa kutoka!!
Asanteni
Wiki tu iliyopita jamaa wa kikristo tena maarufu mtaani kaslimu na kumuoa binti wa kiislamu tena aliyemzidi umri haswaa. Mapenzi ni upofu sheikh,Mara nyingi kunakuwa na ugumu sana kwa wazazi waislamu kukubali kumuoza binti yao kwa asiyekuwa mwislamu,hii inatokana na sheria za dini hiyo,imekataza kumuoza binti kwa watu ambao sheria imewaita"Ahlul Kitaabi"ambao ni Mayahudi na Wakristo(and the likes)kwa sababu kumuoza huko kuna uwezekano mkubwa mwanamke akaifuata dini ya mumewe(isiyokuwa islam) kitu ambacho kwenye uislamu ni "kufru" Kwa suala la wewe kusilimu ili umuoe huyo binti ni la kwako hilo sina jibu. Ila kama hawana misimamo mikali basi wanaweza kukubali ukamuoa huyo bint.
hivi nifaida gani wataipata wakiishi kila mtu na dini yake?kwanza nilazima kila mtu ajue kua ataish aushivyo lakin mwisho wa siku nilazma ukubali kua kuna mungu.na kuna maisha baada ya hapa sasa ili yawe mazur au mabaya huko niwewe utakavyoyaandaa hapa.Hapo mnafunga ndoa ya mseto tu ili kila mtu abaki na imani yake
Mapenz n Zaid ya din bt kuw Makin kucgangany dini Au kumfuata mtu utakuj kujuta juz Kuna mtu anasem anajut Kwa nn kabdl din kisa mpenz wake na wameachaana so b carefulWadau miezi kadhaa iliyopita nilionana na binti mmoja ambaye nilitokea kumuelewa, niliomba mawasiliano na akanipa! Kwa muda huo sikuweza kujua kwa haraka kama ni muislam
Hivyo niliendelea kumzoea mpaka alipokubali kuingia katika mahusiano na mimi, kifupi moyo wangu umeridhika kwake na yeye anaonesha kuwa yupo hivyo!!
Kinachokuja kuniumiza kichwa ni huu utofauti wa dini ambao nimekuja kuujua baadaye, mi ni mkristo wa kawaida wala sina misimamo yeyote katika hii dini, pia kwao ni wale waislam wa ijumaa tu!
Ninachotaka kujua ni uzoefu kwa wale waliopiti mahusiano ya namna hii, je misimamo ya wenzetu wa upande wa pili ikoje? Wanaweza ruhusu nimuoe binti yao na kila mtu abaki na misimamo yake? Je nikiamua kusilimu ni changamoto gani zilizopo huko? Je kuna uwezekano wa yeye kubalika kuja upande wangu?
Nahitaji uzoefu maana naogopa kuzama alafu mwisho wa siku nikashindwa kutoka!!
Asanteni
sasa si uongee na mwenzio hayo yote uone kama mpo kwenye right track au vp?katika mambo yasiofaa kuiga ni swala la ndoaWadau miezi kadhaa iliyopita nilionana na binti mmoja ambaye nilitokea kumuelewa, niliomba mawasiliano na akanipa! Kwa muda huo sikuweza kujua kwa haraka kama ni muislam