Chama cha Wafanyabiashara wa madini Tanzania waipinga ripoti ya mchanga, wadai Taasisi huru

Hao wafanya biashara wa madini, ni wa nani hata waweze kumtishia rais?? Jamani, kama kila mtu aweza kumtishia rais basi hatuna haja na rais.

Waseme kuwa, wametoa wazo lao kuwa, something is wrong some where. Hivyo wangeliomba, tume nyingine, huru zaidi iundwe na findings zipelekwe bungeni. Jambo hilo lifanyike haraka sana tusije limbikiza gharama ka zile za Escrow.

Neno kwamba Wafanyibiashara....waipinga riporti ya... ni upuuzi na wapuuzwe tu. Hiyo tume sio yao ni ya rais. Wao waunde yao ikileta majibu tofauti baasi tuwasikilize wote.
 
Wameshaa nunuliwa ile bilioni 300 naona imeenda kwao , sasa wanataka kuisaliti nchi kwa vipande 30 vya fedha
 
Walikuwa wapi awali mpaka leo wajishaue; wamepokea hela ya ACACIA kwa mlango wa nyuma sasa wanatokea mlango wa mbele kuhalalisha kiingiacho.
Tatizo lenu nyie mnataka kila mtu awe na mawazo kam yenu mtu akienda tofauti na mtazamo wenu anakuwa adui! Kwa suala kama lile lazima hiyo tume ingekuwa na wawakilishi wa watuhumiwa ili wajirizishe!! Wewe unafungua konteina. Bila mtuhumiwa kuwepo je akisema hiyo sample si iliyotoka humo? Mwisho wa siku tutakuja kuona kwani kama kawaida yenu.... Msemo wa lisu.
 
Makada wa Lumumba watawaita hawa nao si wazalendo,

Sasa kama Lumumba ni wazalendo kwa nini walipitisha sheria na kusaini mikataba ya hovyo!

Kila kona ripoti hivi inapingwa,kila kona
Kilaza kama wewe ndo kutwa kucha mnamtukana Bashite, ni wazalendo kwenye mataifa yao wanakopeleka kuwekeza faida waipatayo, kumbuka hata ACASSIA wenyewe ni wanachama so ulitegemea wasimtetee mwanachama wao?
 
Sijawahi kuikisikia hiki chama toka nizaliwe...by the way nani kasema Rais atawasikiliza??
Again I dont see specific Issue on why the report was not right.

By the way Acacia is the one who created the Big discrepancy in the first place and Again its the same Acacia that creates doubts on Same big discrepancy....

Hawa mburulas sikuwahi kuwasikia wakihitaji international firm ku-prove kuwa Acacia alikwepa kodi !!

GO...MAGUFULI GO....So far ripoti moja tu ya Tume naona majibu elfu moja ya Acacia.
 
Naona hata mwenyekiti hajasaini wala kutoa jina.... Nadhani hizi ni taarifa za kizushi tu.... Zingeondolewa
 
Wameshaa nunuliwa ile bilioni 300 naona imeenda kwao , sasa wanataka kuisaliti nchi kwa vipande 30 vya fedha
Kwa hiyo hata wabunge wa ccm wakati ule walivuta mpunga kupitisha sheria za misamaha ya kodi kwa makampuni ya madini sio . . ?!
Kwa hiyo ni Magu tuu ndio hakupata mgao ndio maana kawa mkali hivi . . ?!
 
Walikuwa wapi awali mpaka leo wajishaue; wamepokea hela ya ACACIA kwa mlango wa nyuma sasa wanatokea mlango wa mbele kuhalalisha kiingiacho.
nyie mlikuwa wapi wakati mkapa anasaini mikataba hii mibovu au ndo mnataka acacia awashitaki ashindekesi alafu mgawane hizo 10%
 
Back
Top Bottom