kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,739
- 4,729
«...Waliamuwa kumpa Moïse Katumbi paspoti ya kidiplomasia kwa malengo ya kupingana na Rais Kabila kwa kiburi na jeuri."
Hivyo, hawana haki tena ya kudai kwamba Katumbi ni Muyahudi, tutaenda wote kwenye uchaguzi. Vital Kamerhe alijitenga na Joseph Kabila kwaajili ya kugombea Urais mwaka wa 2011, lakini Rais wetu hakumshambulia hata kidogo.
Lakini Kabund na Katumbi wamejitenga na Felix kwaajili ya kugombea uUais mwaka wa 2023, imekuwa vita.
Waacheni, musiwasumbuwe wenzenu.
Mufungueni huyo mmoja muliyemtia jela, mwenzenu naye aweze kuanza maandalizi ya uchaguzi... Hayo ndiyo maumivu ya utawala wa demokrasia..», amesema Arlette Odia wa (PPRD).