Kwanza napenda kumpongeza mheshimiwa Rais kwa kazi nzuri anayofanya kuifanya Tanzania ing'are Kimataifa katika pitapita zangu nchini Kenya nimekutana na viongozi wa chama cha NASA ktk kampeni zao wakijigamba kuwa wakishinda uchaguzi watafanya mabadiliko makubwa kama Mheshimiwa Rais Magufuli alivyoifanyia Tanzania.
Hongera sana Mheshimiwa Rais John Pombe Magufuli kwa kazi nzuri