Mambo mengine yanaondoa kabisa akshki ya kushiriki tendo.
Yani unalivua limtu unakuta limejichanja chale kila kona mara kiunoni, mara kwenye mapaja, kwenye makalio, mgongoni, kifuani nk.
Mnatutisha aisee yani utadhani umekutana na shetani mtoto au kinyago cha kimakonde.
Nimekuja na mingunga yangu unaishia kunikata akshki na gharama kibao tayari nimeisha ingia.
Na wala hutoi tahadhari au ishara yeyote kwamba "jamani mwezako nina chale kibao mwilini"
Tafadhali sana aisee.