1. Hawaeleweki wanataka na wanasimamia nini kama yasivyoeleweka maudhui ya bongo movies!
mfano: kufeli kwa ukuta na ukusanyaji wa michango mbalimbali ya fedha kutoka kwa walalahoi
2. Wamekuwa na vijikaulimbiu (slogans) viiingi visivyo na maana kama titles za bongo movies. baadhi ya vijikaulimbiu vyao ni kama vifuatavyo;
- m4c
- operation sangara
- mambo iko huku; taarabu imo (hii ilianza mara baada ya kumpokea wema sepetu)
- ukuta n.k
3. Wamekuwa na tabia ya kuongezea vijikaulimbiu visivyo na maana juu ya vijikaulimbiu visivyo na maana pia kama ambavyo bongo movies wanagawa movies zao katika part A na B hata kama hakuna sababu.
mfano: ni hiyo join the chain ilivyozaa boots on the ground bila matumizi ya umri, elimu wala uzoefu!
4. Wamekuwa na tabia ya wivu na kuchamba kama ambavyo kina aunt ezekiel, wema, mobeto, wolper na shishi wanavyochambana huko bongo movies.
mfano: kila siku ni kazi ya kumchamba na kumzushia zitto kabwe bila sababu. ukichunguza sana utakutana na sababu iliyojificha ya kuwa zitto si mburura kama wao.
5. Wameingiliwa na ugonjwa wa kutumia maneno ya kiingereza katika vikaulimbiu vyao kama ambavyo bongo movies wanatumia maneno ya kiingereza katika titles zao.
mfano: join the chain
boots on the ground
Na mengine mengi.
Karibuni katika kuongeza mengine.