WanaJF,
Kuna maazimio yalifikiwa bungeni kuwa, vyama vyote vya siasa vitakavyopata fursa ya kuteua wabunge wa viti maalum, vitoe pia nafasi kwa walemavu katika nafasi hizo za viti maalum ili nao wapate uwakilishi wao bungeni.
CCM imefanya hivyo kwa kuteua albino mmoja na kana kwamba hiyo haitoshi, rais Dkt Magufuli akamfanya naibu waziri. Hivyo CCM imetimiza ahadi iliyowekwa katika maazimio ya bunge.
Je, ndugu zetu CHADEMA, albino wenu yuko wapi!? Maana ni nyinyi ndio mlijifanya kutetea haki za walemavu, kuwa wana haki ya kuingia bungeni, iweje nafasi zote mlizokuwa nazo za viti maalum hamkutenga hata moja tu kwa ajili ya mlemavu!?
Taifa litawaamini vipi CHADEMA!? Hii tabia ya ukigeugeu na ndimi mbili itawagharimu milele.
Jitahidi kujisomea mambo mengine,Hakuna mbunge yeyote mlemavu wa ngozi ambaye ameteuliwa na CCM katika viti maalum walioteuliwa na CCM.WanaJF,
Kuna maazimio yalifikiwa bungeni kuwa, vyama vyote vya siasa vitakavyopata fursa ya kuteua wabunge wa viti maalum, vitoe pia nafasi kwa walemavu katika nafasi hizo za viti maalum ili nao wapate uwakilishi wao bungeni.
CCM imefanya hivyo kwa kuteua albino mmoja na kana kwamba hiyo haitoshi, rais Dkt Magufuli akamfanya naibu waziri. Hivyo CCM imetimiza ahadi iliyowekwa katika maazimio ya bunge.
Je, ndugu zetu CHADEMA, albino wenu yuko wapi!? Maana ni nyinyi ndio mlijifanya kutetea haki za walemavu, kuwa wana haki ya kuingia bungeni, iweje nafasi zote mlizokuwa nazo za viti maalum hamkutenga hata moja tu kwa ajili ya mlemavu!?
Taifa litawaamini vipi CHADEMA!? Hii tabia ya ukigeugeu na ndimi mbili itawagharimu milele.
we sio mzima , na napendekeza MODS huyu bwana apigwe BAN kwa lugha isiyokuwa na staha ya " albino wenu yuko wapi". Huyu mtu asiyekuwa na nidhamu haelewi ulemavu upo wa aina nyingi na CHADEMA bungeni yupo mama mlemavu wa macho na anajenga hoja vema sana.
Ni mimi HARBINDER SING SETH
MABADILIKOOOO LOWASSAAAWanaJF,
Kuna maazimio yalifikiwa bungeni kuwa, vyama vyote vya siasa vitakavyopata fursa ya kuteua wabunge wa viti maalum, vitoe pia nafasi kwa walemavu katika nafasi hizo za viti maalum ili nao wapate uwakilishi wao bungeni.
CCM imefanya hivyo kwa kuteua albino mmoja na kana kwamba hiyo haitoshi, rais Dkt Magufuli akamfanya naibu waziri. Hivyo CCM imetimiza ahadi iliyowekwa katika maazimio ya bunge.
Je, ndugu zetu CHADEMA, albino wenu yuko wapi? Maana ni nyinyi ndio mlijifanya kutetea haki za walemavu, kuwa wana haki ya kuingia bungeni, iweje nafasi zote mlizokuwa nazo za viti maalum hamkutenga hata moja tu kwa ajili ya mlemavu!?
Taifa litawaamini vipi CHADEMA!? Hii tabia ya ukigeugeu na ndimi mbili itawagharimu milele.
possy yuko vizuri sana kuliko hata uyo mbunge wa shangaPombe amemchagua Zeruzeru kuwa waziri kwakuwa ni zeruzeru.
yani uzeruzeru wake umempa uwaziri.
only in Tanzania.
WanaJF,
Kuna maazimio yalifikiwa bungeni kuwa, vyama vyote vya siasa vitakavyopata fursa ya kuteua wabunge wa viti maalum, vitoe pia nafasi kwa walemavu katika nafasi hizo za viti maalum ili nao wapate uwakilishi wao bungeni.
CCM imefanya hivyo kwa kuteua albino mmoja na kana kwamba hiyo haitoshi, rais Dkt Magufuli akamfanya naibu waziri. Hivyo CCM imetimiza ahadi iliyowekwa katika maazimio ya bunge.
Je, ndugu zetu CHADEMA, albino wenu yuko wapi? Maana ni nyinyi ndio mlijifanya kutetea haki za walemavu, kuwa wana haki ya kuingia bungeni, iweje nafasi zote mlizokuwa nazo za viti maalum hamkutenga hata moja tu kwa ajili ya mlemavu!?
Taifa litawaamini vipi CHADEMA!? Hii tabia ya ukigeugeu na ndimi mbili itawagharimu milele.
jana Bungeni ameongea sentensi moja tu akadhihirisha akili zake ni kama za kibajaji na wewe.possy yuko vizuri sana kuliko hata uyo mbunge wa shanga
Kwani ulemavu ni ualbino pekee? unataka mpaka atajiwe nani ni mlemavu? baadhi ulemavu ni ujuao mimi ni pamoja na kuwa na Mshedede mkubwa kupita kiasi.WanaJF,
Kuna maazimio yalifikiwa bungeni kuwa, vyama vyote vya siasa vitakavyopata fursa ya kuteua wabunge wa viti maalum, vitoe pia nafasi kwa walemavu katika nafasi hizo za viti maalum ili nao wapate uwakilishi wao bungeni.
CCM imefanya hivyo kwa kuteua albino mmoja na kana kwamba hiyo haitoshi, rais Dkt Magufuli akamfanya naibu waziri. Hivyo CCM imetimiza ahadi iliyowekwa katika maazimio ya bunge.
Je, ndugu zetu CHADEMA, albino wenu yuko wapi? Maana ni nyinyi ndio mlijifanya kutetea haki za walemavu, kuwa wana haki ya kuingia bungeni, iweje nafasi zote mlizokuwa nazo za viti maalum hamkutenga hata moja tu kwa ajili ya mlemavu!?
Taifa litawaamini vipi CHADEMA!? Hii tabia ya ukigeugeu na ndimi mbili itawagharimu milele.
Kubenea aliteuliwa kwa sifa zipi huko Chadema?Pombe amemchagua Zeruzeru kuwa waziri kwakuwa ni zeruzeru.
yani uzeruzeru wake umempa uwaziri.
only in Tanzania.
Minaona wewe ndio unayakuzawe sio mzima , na napendekeza MODS huyu bwana apigwe BAN kwa lugha isiyokuwa na staha ya " albino wenu yuko wapi". Huyu mtu asiyekuwa na nidhamu haelewi ulemavu upo wa aina nyingi na CHADEMA bungeni yupo mama mlemavu wa macho na anajenga hoja vema sana.
Ni mimi HARBINDER SING SETH
Kubenea anasifa ipiKwa hiyo hata kama hana sifa na uwezo ateuliwe tuu kama mpanju
ana sifa ya kuwa na kura nyingi kuliko Didas Masaburi na ndiyomaana yuko bungeni.Kubenea anasifa ipi