CHADEMA msipeleke majina mengine kwa ajili ya wabunge wa EALA

Majina ya Mbowe ya mfukoni. Kwani hakuna wengine ni hao hao tu?

Tatizo hawa watu hawaelewi mbele wala nyuma. Hivi tatizo ni majina au idadi ya wagombea? Hata hili dogo wanashindwa kuelewa? No wonder Mbowe kabadili Katiba yao bado wanaimba mapambio.
 
Sakary slip ni aidha cdm wakubaliane kupeleka majina mengi au wakubali kupoteza nafasi hizo. Kumbuka sasa hivi hizo unazoita kanuni sijui sheria ccm wako wengi wanaweza kuzibadili na wakazichukua zote. Kama wamemudu kurudis uchaguzi wa Znz wenye uzito mkubwa watashindwa hako kauchaguzi ka wabunge wa EALA? Umesahau kilichotokea bunge la katiba baada Ukawa kususia? Bunge liliendelea na kanuni zilibadilishwa kila muda zilipowabana ikawa ni uhuni wa kitoto. Kama hilo halitoshi hata zile hela za kulipwa Ukawa walizosusa vikao zikaliwa chini ya marehemu mmoja ns mwingine leo ni makamu wa mkulu. Kwa hiyo ushauri wako uzingatie hizo figisufigisu za huko nyuma.
 
Ila malawi wakilianzisha tutaheshimiana, walah sitanii, wanaojiita "wenye nchi" watapaswa kuwa Frontline.
 
Mahakamani inapelekwa serikali, mahakamani linapelekwa bunge na mahakamani pia hupelekwa mhimili wa tatu wa kutoa haki. Hakuna aliye juu ya sheria hivyo yeyote anaweza kupelekwa huko.

Acha Uongo, Raisi wa JMTZ yuko Juu ya Sheria na hawezi kupelekwa Mahakamani!
 
Sakary slip ni aidha cdm wakubaliane kupeleka majina mengi au wakubali kupoteza nafasi hizo. Kumbuka sasa hivi hizo unazoita kanuni sijui sheria ccm wako wengi wanaweza kuzibadili na wakazichukua zote. Kama wamemudu kurudis uchaguzi wa Znz wenye uzito mkubwa watashindwa hako kauchaguzi ka wabunge wa EALA? Umesahau kilichotokea bunge la katiba baada Ukawa kususia? Bunge liliendelea na kanuni zilibadilishwa kila muda zilipowabana ikawa ni uhuni wa kitoto. Kama hilo halitoshi hata zile hela za kulipwa Ukawa walizosusa vikao zikaliwa chini ya marehemu mmoja ns mwingine leo ni makamu wa mkulu. Kwa hiyo ushauri wako uzingatie hizo figisufigisu za huko nyuma.
Ni biora kuwa na msimamo kuliko kushiriki katika jambo ambalo ni wazi kabisa liko kinyume na sheria/kanuni.

Tuwaache wafanye watakavyo lakini sisi tusiwe sehemu yao.
 
Sheria za upatikanaji wa wabunge wa EALA zimewekwa na bunge lenyewe hivyo ili kubdili kanuni lazima bunge hilo likae na haliwezi kukaa bila wajumbe wa TZ.

NAJIFUNZA SHERIA
 
Ni biora kuwa na msimamo kuliko kushiriki katika jambo ambalo ni wazi kabisa liko kinyume na sheria/kanuni.

Tuwaache wafanye watakavyo.

Sipingi wazo lako hata kidogo, lakini kwa sasa cdm hata hawako kwenye kusimamia misimamo. Kwa hili wacha tu nizungumze kwa sauti ya chini. Kile kituko tumefanya kwa mgombea urais 2015 ndio hapo udhaifu wetu ulipoanzia. Hapa tulipo hakuna tunalosema watawala wakasikia tumebaki kubahatisha tu lakini watu wengi walibaki kinywa wazi. Kilichopo ni kucheza tu kisago cha maisha wanachopata wananchi kupitia mtawala huyo lakini sio hilo la misimamo.
 
Kama hujui maana ya kuingilia muhimili mwingine bora unyamaze, mahakama ipo kwa ajili ya kutafsri sheria zote ziwe zinahusu bunge ama executive.
Quinine

Kama kuteuliwa na chama inatosha kulikuwa na haja ipi Bunge kupiga kura?

Kama ni hivo vyama vingeteua tu basi, mnachokifanya kubishia haki na wajibu wa msingi ukiotimizwa na Bunge.

Hebu nidokeze,
Bunge limekosea kipi ktk zoezi zima LA kura?
 
Mkisusa Bunge linakutana linabadilisha kanuni nafasi zote anapewa CUF inayokubali Muungano na Amani na Mshikamano
 
Ni biora kuwa na msimamo kuliko kushiriki katika jambo ambalo ni wazi kabisa liko kinyume na sheria/kanuni.

Tuwaache wafanye watakavyo lakini sisi tusiwe sehemu yao.

Mbona Wabunge wote wa Chadema walipiga kura Jana kwanini baada ya Matokeo kutoka ndio wanasema taratibu zilikiukwa!
 
Mahakamani inapelekwa serikali, mahakamani linapelekwa bunge na mahakamani pia hupelekwa mhimili wa tatu wa kutoa haki. Hakuna aliye juu ya sheria hivyo yeyote anaweza kupelekwa huko.

Mnapeleka mahakamani hoja ya kushindwa uchaguzi.Ningefurahi kungekuwa na uwezekano mshinde mahakamani,mahakama isimamie uchaguzi.Mrudishe wagombea wale wale wawili ipigwe upya kura matokeo yatakayosimamiwa na mahakama yatangazwe ili nione hatua itakayofuata itakuwa ni wapi zaidi ya maandamano.Mnajitofautishaje na enzi za mgombea mmoja kushindana na kivuli? Mnapata wapi ujinga wa kutoona makosa yenu na kuyatatua?
 
Ni biora kuwa na msimamo kuliko kushiriki katika jambo ambalo ni wazi kabisa liko kinyume na sheria/kanuni.

Tuwaache wafanye watakavyo lakini sisi tusiwe sehemu yao.
Mbowe ameshakula pesa za Wenje na Masha hawezi kupeleka majina mengine Zaidi ya hayo
 
Mnapeleka mahakamani hoja ya kushindwa uchaguzi.Ningefurahi kungekuwa na uwezekano mshinde mahakamani,mahakama isimamie uchaguzi.Mrudishe wagombea wale wale wawili ipigwe upya kura matokeo yatakayosimamiwa na mahakama yatangazwe ili nione hatua itakayofuata itakuwa ni wapi zaidi ya maandamano.Mnajitofautishaje na enzi za mgombea mmoja kushindana na kivuli? Mnapata wapi ujinga wa kutoona makosa yenu na kuyatatua?
Hukunielewa kabisa. Kwanza mimi sio mwanachama wa chama chochote cha siasa. Ninachosema CDM au yeyote ana haki ya kwenda mahakani. Mahakama ikiamua pamoja na rufaa zake kama zipo haki itatolewa na sio lazima ashinde aliepeleka shauri. Kuna alieandika kwamba ukipeleka bunge mahakani unaingilia muhimili mwingine-nilichojibu ndio hicho. Ni juu ya yeyote asiyekubali yaliyotokea kupeleka shauri lake mahakamani.
 
Chadema wakifeli kitu ni lawama tu.

Hivi hawa ni wanasiasa kweli au ndio walidadia tu kujazia matumbo yao, wanatia aibu hata yule mtoto aliyemtembelea Mhe. Makonda jana kutoka Arusha anaweza kuwa mshauri wao tho ni wabishi na hawatasikiliza sababu shule walisoma kweli au kupitishwa tu kuapata vyeti? Simuongelei Mbowe huyo najua ni hata Mhe. Makonda kamzidi kielimu kwa mbali sanaaaaa.
Wewe akili zako bora hata za bahasha wako Bashite zina afadhari.
 
Back
Top Bottom