Eng Saimon JF-Expert Member Dec 18, 2012 351 311 Mar 6, 2016 #1 Wadau, hii ni dhahili kuwa Watanzania wameshafumbuka macho na kuweza kukubali kile kilichokuwa kikupingwa na wengi ktk kampeni... Kampeni zimeisha sasa ni wakati wa kufanya kazi# HapaKaziTu # Hongereni watz.. Attachments 1457264698416.jpg 53.7 KB · Views: 23
Wadau, hii ni dhahili kuwa Watanzania wameshafumbuka macho na kuweza kukubali kile kilichokuwa kikupingwa na wengi ktk kampeni... Kampeni zimeisha sasa ni wakati wa kufanya kazi# HapaKaziTu # Hongereni watz..
MKWEPA KODI JF-Expert Member Nov 28, 2015 28,701 71,035 Mar 6, 2016 #2 Wewe hebu ngoja kwanza, usitake kututoa kwenye hoja ya msingi ya February mawaya
barafuyamoto JF-Expert Member Jul 26, 2014 32,375 29,732 Mar 6, 2016 #3 HAMMA JINSI, jamaa anapiga kazi, labda uwe hayawani ndo hautakubaliana na kazi yake.