kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,870
- 7,752
kwa nini sukari ilikua inaagizwa? ilikua inaagizwa kwa rushwa..yes hawalipi kodi. sukari viwandani inakosa soko wao wanapata faida kubwa kupindukia.Kama sukari imefichwa serikali ilikuwa Na ulazima gani wa kuagiza sukari tani laki moja na wazir mkuu akalitolea ufafanuzi kuwa sukari iko njiani. Kama sukari imefichwa serikali ya awamu ya nne ya ccm kwa nini ilikuwa inato vibali special kwa wafanyabiashara waagize sukari nje ya nchi