Distinction
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 726
- 373
sema nae usione soo, unaweza kuta ikawa bahati yako aisee.. tukaanza kukuita shemeji ila sasa ukubali kushikwa masikio.Ila Ester bulaya ndo funga kazi jamani, bulaya nampenda sana, ana mvuto sana!