CHADEMA bila ya Zitto Kabwe, ni Wanaharakati TU!!

Umemsahau
Kubenea
Fanya kazi zenye tija wacha ukuwadi huo hauta kufikisha popote,kuna siku humu jamvini kuna memba mmoja alikwambia kuwa ulikuwa umeolewa na sasa umeachika kwa bwana yakakutoka mapovu kibao
 
Nashindwa kuelewa ni jinsi gani chadema wanaweza wakang'ara Bungeni tena bila ya Zito Kabwe kwa maana Zito ndiyo pekee aliyekuwa analeta hoja nzito, za kufikirisha na zenye maana hasa kwenye mambo ya upotevu wa fedha za Serikali!
Zito Kabwe ndiyo Mbunge pekee wa Upinzani anayeelewa mambo ya Madini na Gesi, ndiye pekee anayeweza kusimama akaelezea kitu kuhusu haya mambo (Madini na Gesi) ukamsikiliza na kuondoka (ukajifunza) kitu ktk kwake na, ndiye pekee aliyoifanya chadema ing'are hapo mwanzoni ktkna na hoja zake zilizoenda Shule!

Sasa leo hii hayupo chadema ni nani atavaa viatu vyake? Kwa maana waliobakia wote kama Tundu, Mnyika ni wanaharakati tu na watu jazba na matusi lkn hakuna chochote wanachokinena ambacho Serikali yetu inaweza kukipa umakini!

Watakaobisha nawaomba mnitajie jambo moja ambalo Mwanaharakati Tundu amewahi kuleta Bungeni na likapewa umakini na Serikali yetu!
Tundu anachojua ni matusi tu kama kumtukana Mlm.Nyrere, Raisi Kikwete, Mkapa na sasa Raisi Magufuli hata fisadi Lowasa mwenyewe ashawahi kuwa mhanga wa matusi ya mwanaharakati Tundu!

Kwenye maisha kuna vitu viwili tu:
1.Either ukubali kuamini unachoamini na si aaminicho mtu mwingine.
2.EIther ukubali kwamba you are useless kama asippkuwepo mtu nyuma yako.

Ya pili inaonyo kwenye maandiko Matakatifu na onyo linsema..."Ole wake mtu yule atakayemini Binadamu mwenzake..."Pole cha zaidi jiamini mwenyewe na Mungu wako.

Ndivyo wanavyoamini wanachama wa WACHADEMA,wanajiamini na hawaamini binadamu mwenzao maana huyo hufa,lakini wanajiamini wao wenyewe na Mungu wao maana wakisha ondoka duniani nyuma yao wameacha historia.Then Tengeneza historia yako usitegemee historia ya Zitto.Zitto ameshatengeneza na ataendelea kuitengeneza yake bila kujali kama unamuona au lah.
 
Basi sawa...Zito yuko na ACT ...wako kwenye siasa...endelea kuwasikiliza hao..Achana na CHADEMA Waliopotea
Endelea kujipilikicha na huyo Judeas Iskariot wako, kama unampenda sana mualike ghetho mmalizane! CDM mwendo mdundo! Kama Uanaharakati unazaa matunda kuna ubaya gani?! The ends justify the means! Upo hapo?!
 
Ni sawasawa na kusema Tanzania bila mwl. Nyerere haitaendelea, siasa ni sawa kabisa na biashara nyinginezo
 
Mkuu unapoteza muda wako kujibizana na hilo shangingi kilasiku linakesha kona unafikiri pana nini hapo?

mkuu kumbukumbu zangu zinaonyesha kuwa zzk no mbunge binge la 2016/2020 bado anayo nafasi kubwa ya kuing'arisha act na kutoa hoja zinazohusiana na madini sababu atakuwapo bungeni kwa miaka Kitano mbele

Sasa apo cdm sioni uhusika wake alafu zzk alijifunzia wapi utaalam wa madini kwani yeye walisoma chuo kimoja na prof muhongo?

Acha kujiletea post we ushachuja
 
alindispensable : 15128954 said:
Zitto ni gifted,CDM wanajua kuwa wamempoteza mtu muhimu,wanajikaza kisabuni. Zitto anaakili nyingi kuliko wabunge wote ukawa. Angalia hoja zake utaona weledi mkubwa.
No one is indispensable, hivi kuna mwanasiasa mahiri hapa nchini kuliko alivyokuwa the late Mwl Nyerere? Alipofariki kuna waliodiriki kusema nchi itasimama, hata kutangaza kifo chake ilikuwa issue!!, ndiyo ije kuwa Zitto? Je Zitto anamzidi Dr Slaa? mbona tayari Slaa ameshaanza kusahaulika?
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Nashindwa kuelewa ni jinsi gani chadema wanaweza wakang'ara Bungeni tena bila ya Zito Kabwe kwa maana Zito ndiyo pekee aliyekuwa analeta hoja nzito, za kufikirisha na zenye maana hasa kwenye mambo ya upotevu wa fedha za Serikali!
Zito Kabwe ndiyo Mbunge pekee wa Upinzani anayeelewa mambo ya Madini na Gesi, ndiye pekee anayeweza kusimama akaelezea kitu kuhusu haya mambo (Madini na Gesi) ukamsikiliza na kuondoka (ukajifunza) kitu ktk kwake na, ndiye pekee aliyoifanya chadema ing'are hapo mwanzoni ktkna na hoja zake zilizoenda Shule!

Sasa leo hii hayupo chadema ni nani atavaa viatu vyake? Kwa maana waliobakia wote kama Tundu, Mnyika ni wanaharakati tu na watu jazba na matusi lkn hakuna chochote wanachokinena ambacho Serikali yetu inaweza kukipa umakini!

Watakaobisha nawaomba mnitajie jambo moja ambalo Mwanaharakati Tundu amewahi kuleta Bungeni na likapewa umakini na Serikali yetu!
Tundu anachojua ni matusi tu kama kumtukana Mlm.Nyrere, Raisi Kikwete, Mkapa na sasa Raisi Magufuli hata fisadi Lowasa mwenyewe ashawahi kuwa mhanga wa matusi ya mwanaharakati Tundu!
Naona Hata Escrow alileta Zitto!!
 
Hebu tukumbushane, ACT chini ya Zitto Kabwe kilipata wabunge wangapi uchaguzi uliopita?

Ina maana huyo Zitto ana uwezo wa kuisadia CHADEMA tu kisiasa? Mbona asiisaidie ACT yake iondokane na aibu ya kukataliwa na wananchi?
Ina jumla ya wabunge Saba... kimeanzishwa mwaka mmoja na nusu kabla ya uchaguz... kimekuta nguvu ya CCM vs UKAWA.. kime survive.. heshima kwao
 
Is this guy still relevant after dismal performance in 2015 elections?
 
Chadema itaendelea kun'gara Bila zitto. Zito aking'arishe act iikute chadema na si kusema Bila zitto chadema c kitu
 
Hebu tukumbushane, ACT chini ya Zitto Kabwe kilipata wabunge wangapi uchaguzi uliopita?

Ina maana huyo Zitto ana uwezo wa kuisadia CHADEMA tu kisiasa? Mbona asiisaidie ACT yake iondokane na aibu ya kukataliwa na wananchi?
Ni mapema mno kumpima kwa uchaguzi uliopita kwani cdm ilipoanza ilipata wabunge wangapi?
 
Back
Top Bottom