Ccna vs oracle

amsr

JF-Expert Member
Apr 30, 2012
259
303
Nimeambiwa nichague kufanya koz1 kati ya ccna au oracle db ,je nichague ipi wakuu? Ipi marketable kwa sasa?..natanguliza shukran
 
Kwanza unafanya kazi kama nani?ccna is for net admin while oracle ni db admin.hapo tu ushapata majibu.
Pili, unataka kuwa nani in ua carrier?net or db?that wl help u.zote marketable jst depend hw best ua
 
Kwanza unafanya kazi kama nani?ccna is for net admin while oracle ni db admin.hapo tu ushapata majibu.
Pili, unataka kuwa nani in ua carrier?net or db?that wl help u.zote marketable jst depend hw best ua
Thanx mkuu kwa mchango, me cfanyi kazi nimemaliza chuo last year so nikataka kujiendeleza na professional koz bt bajet ndo imekua finyu ila nahitaji nifanye carrier zote hizo2 so ipi nzuri kwa kuanzia?
 
Lazima uchague moja aisee,kama unataka network ni hiyo ccna kama ni db basi ni hiyo Oracle .ndio maana ya kutaka professional.
 
anaweza fanya zote, one at a time..,inategemea pia na interest yake
Me pia nlikua nashangaa mkuu kwanini isiwezekane kufanya zote wakati zote ziko kwenye fani 1..anyway kila mtu na maono yake
 
Mkuu kozi kama hizo za certification nyingi unasoma kutokana na matarajio yako mbele.
Kila moja inaumuhimu wake kwa sababu ni certification ya vitu viwili tofauyi ndani ya field moja ya IT au Computer Science
Kikubwa hapo angalia unachopenda na future yako hapo baadae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…