2hery
JF-Expert Member
- May 27, 2011
- 4,700
- 4,623
Jopo lile lilikuwa na wataalamu kutoka Lugumi..Na like Jopo la wataalam alilounda JPM wakati wa kampeni halikufanya kazi yake?
Jopo lile lilikuwa na wataalamu kutoka Lugumi..Na like Jopo la wataalam alilounda JPM wakati wa kampeni halikufanya kazi yake?
Kuna Jamaa eti nae anajiita Mpinzani alim Support Msemaji wa ChamaNa kuna watu wakasema haina umuhimu kujua eti mbona zamani hakukuwa na computer?
Sasa mkitaka kumshauri Sendeka muandike barua kupitia P.O Box 007 Lumumba Dar na kila siku anaweza kupokea gunia zima la barua na kuzisoma
...Na wa kwake AUBOMOE pia. Na kule kwa Jeichaa mitandao ibomolewe..Mh JPM kabla ukikabidhiwa chama tu anza na haya
1. Omba toba kwa wa Tz
2. Futa wimbo wa Cccm ni ile ile (idiology)
3. Bomoa mitandao yote.yote anza upyaaa
Kisha Ziwa Oil...Luhumi kwanza
Mtu hajui kutumia mitandao ataingiaje humu?wala asipate tabu akae hapa jukwaani wangalau mwezi mmoja tu atapata picha nzima.
Machafuko vipi tena..hapa akitumbua hili lazima upofu..Kisha Ziwa Oil...
Kabisaaaa. Sijui itabidi anywe nini kwanza?! Sifongo au Siki?Machafuko vipi tena..hapa akitumbua hili lazima upofu..
Mkuu km si kisutu basi the Hague inakuhusu, yaani unathubutu kukuwaambia malaika hawa wasijifanye nn?Ushauri wangu: Wajitambue na wakubali kwamba wao ni binaadamu kama wengine na siyo miungu watu na iko siku watarejea kwa Mola wao na kuacha vyote duniani.
Hata wakishauriwa sio rahisi wakiambiwa walirudishe Azimio la Arusha watakubali? Mh.Ole Sendeka CCM haishauriki imetawala zaidi ya miaka 40 inajua kila kitu
Si juzi tu umeambiwa hajui kutumia PC which means hajui pia kutumia smartphones au JF inapatikana kwenye NOKIA ya tochi?wala asipate tabu akae hapa jukwaani wangalau mwezi mmoja tu atapata picha nzima.
hahahahahahahahaHakika ccm ina majembe. Ole Sendeka ana akili sana,hongera kwa move hii. Wavute, wabwabwaje tuyafanyie kazi halafu walalame tunatekeleza sera zao. Umeanza vizuri, keep it up. CCM mbele kwa mbele. Raha sana.
Halafu atazipataje na umeambiwa hajui kutumia pc,Na ukiambiwa mtu hajui kutumia pc jua na smartphone hajui kutumia hata ukimuona kaibeba jua anaitumia kwa kupiga tu, msg za smartphone nazo zina utata kwa watu kama hawa mfano simu ikipoteza majira msg zinazoingia atazitafuta kwa tochi.Utandawazi ni shiiida kwa jamii yetu mkubwa.Sema waweke suggestion box kwenye ofisi zote za ccm tuandike barua.Wafungue page kwny web yao watu kutoa kero zao za chama na ushauri