CCM, tuonyesheni nyaraka za malipo kwenda TBC1 kugharamia kurusha LIVE Sherehe za CCM kesho

Kwa mujibu wa tangazo liliroshwa na star tv,kesho TBC1 kwa kushirikiana na Star tv,wataonyesha moja kwa moja sherehe za kuzaliwa kwa Chama cha Mapinduzi(CCM) zitakazofanyika mjini Singida kesho na mgeni rasimi atakuwa mwenyekiti wa chama hicho Taifa, Raisi mstaafu Jakaya Kikwete.

Binafsi sina shida na TBC1 kuonyesha live sherehe hizo, ila nachotaka kujua ni fedha kiasi gani CCM wameilipa TBC1 na tunawataka waonyesha nyaraka za malipo hayo kwani wote tunakumbuka uamuzi wa hivi karibuni wa serikali kusitisha matangazo ya moja kwa moja ya vikao vya Bunge kwa kile tulichoambiwa ni TBC1 kutumia fedha nyingi(bilioni 4 kwa mwaka) kurusha matangazo hayo live na hivyo kuigharimu serikali fedha nyingi.
Na Tena TBC watuoneshe Bank Statment inayoonesha kwamba tayari fedha hizo zimeingia kwenye account yao, na si kutuletea kivuli cha hundi. Hundi inaweza kuandikwa tu kimagumashi
 
Yeye Ni Mwananchi, ambaye Raslimali za Nchi ni Zetu wote, Pili analipa Kodi inayoiendesha TBC, Ni mpumbavu tu asiyejua Mwananchi ni nani hili ni swali la Kunya! Kama mwananchi angelikuwa, "Yeye ni nani" Hawa mabwana zako unaowaabudu wa CCM wanafuata nini kwa wananchi nyakati za Uchaguzi na Kusema ... "Mkinichagua... Mkinipa Ridhaa yenu... Naombeni Kura zenu" Angekuwa si kitu si! acha nisije nikutukane
Mkuu yaani haya manyumbu ya lumumba ni sheeda sana,hayajitambui kabisa hata hayajui kuwa tbc inaendeshwa kwa kodi za watanzania wanafikiri ni mali ya ccm kama ilivyo uhuru na mzalendo
 
Hapo ndio hata mimi napowashangaa.
Magufui Akinza Kampeni Mapena, ati akijitambulisha kwa wananchi, Wakati Fulani Mzee kuu wa Escrow, Vasco Da Gama akampa Ndege ya Serikali, Walipoulizwa wakasema Waliikodisha. Yaaani Leo Serikali Inakodisha Ndege yake, Pesa anapokea Nani, Oh wait wait! Naomba mniulizie bei maana nataka namimi niikodishe kwa ajili ya harusi! CCM Wameoza wanaona Wananchi ni Wapumbaavu na Malooofa, Si hata Mkapa wao akatoboa siri!
 
Kwani wakishakuonesha receipt ya malipo then utachukua hatua gani? Sasa ni hivi, usipate shida, kesho fika ofisi za TBC asubui then nenda Mhasibu Mkuu UMUOMBE hizo taarifa.. atakupatia halafu uje hapa JF utangaze. sawa mtanzania????
Wewe kama unafikiri ni utani basi kalagabaho watu wameamua kufuatilia hili jambo na itajulikana tu
 
Kwa mujibu wa tangazo liliroshwa na star tv,kesho TBC1 kwa kushirikiana na Star tv,wataonyesha moja kwa moja sherehe za kuzaliwa kwa Chama cha Mapinduzi(CCM) zitakazofanyika mjini Singida kesho na mgeni rasimi atakuwa mwenyekiti wa chama hicho Taifa, Raisi mstaafu Jakaya Kikwete.

Binafsi sina shida na TBC1 kuonyesha live sherehe hizo, ila nachotaka kujua ni fedha kiasi gani CCM wameilipa TBC1 na tunawataka waonyesha nyaraka za malipo hayo kwani wote tunakumbuka uamuzi wa hivi karibuni wa serikali kusitisha matangazo ya moja kwa moja ya vikao vya Bunge kwa kile tulichoambiwa ni TBC1 kutumia fedha nyingi(bilioni 4 kwa mwaka) kurusha matangazo hayo live na hivyo kuigharimu serikali fedha nyingi.
Hii si mnaiitaga tabccm? Cha kushangaza nini?
 
Ya CCM yanakuhusu nini wewe?

Si kila tukio linalorushwa na channel yoyote ile iwayo hulipiwa.

Kuna mambo na au matukio hurushwa bila kulipiwa.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?

Ulishawahi kusikia kuna sherehe za kuzaliwa chadomo?
 
salary ccm ni ileile kuna mzee mmoja amepita dakawa na kuwadangaja vijana tutachukua mashamba yote na tutagawa kwa wananchi,kesho anakwenda kudanganya tena huko singida poleni watanzania
Hiyo inaitwa Magu Furahisha Komedi kazini. Ni kwa ajili ya raha zetu tuu. Vikundi vingine vya komedi vimesha kosa mvuto sasa hiki kimechukua hatamu
 
Ya CCM yanakuhusu nini wewe?

Si kila tukio linalorushwa na channel yoyote ile iwayo hulipiwa.

Kuna mambo na au matukio hurushwa bila kulipiwa.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?

Ulishawahi kusikia kuna sherehe za kuzaliwa chadomo?
Hajauliza ya ccm maana hayamuhusu kauliza ya TBC kulipwa maana hiyo inamuhusu
 
wakuoneshe ili iweje na wewe ni nani?. anzeni nyie kutuonesha risiti ya luwasa kununua chadema na manyumbu wote...
Nyumbu ni ccm ambao nchi ina miaka 54 bila maendeleo bado mpo mnaishi kwa kukariri Akili za Nape ambaye alikaa na Membe wakazusha kuwa Lowasa alinunua CDM wambie wakupe risti wao maana wao ndiyo walitengeneza huo Uzushi na Uongo kisha wakaueneza mpaka nyumbu zote za ccm zimekariri pasipo kutafakari, sasa kama ni Risti mtadaiwa maristi mengi sana yakiwemo ya kuwanunua Slaa na Lipumba, NIDA, pesa za marehemu Gadafi, zile billion 1.7 zilizoyeyuka wakati kampeni ikiendelea. Juzi mnasema kurusha bunge live ni billion 4 ! Hizo pesa zimelipwa wapi na nani? Kule TBC wanadai pesa inayofika kwao ni kidogo sana ina maana pesa nyingi inapigwa na wajanja wa kisingizio cha kulipia Live.
 
Nyie CCM msijifanye miungu msotaka kukosolewa wala kuhojiwa, mmezoea kuishi kwa uongo Na udanganyifu, km kweli mmelipia wekeni ushahidi hapa tuone, Na sio blah bla bla
Wakiamua kuzuga wanaweza kutengeneza Risti feki wakawahadaa Watanzania, lakini Ukweli hawalipii kitu wanachofanya ni wale wafanyakazi wa TBC kulipwa posho za safari tu, hata ile Live ya Bunge pesa zilikuwa hazilipwi TBC zilikuwa zinapigwa juu kwa juu lakini nyaraka zikawa zinaonyesha wanalipa billion 4 ndipo TBC wakagoma Nape akaamua kuja na mbinu za kuwahadaa Watanzania ili kufucha Ufujaji pesa za kulipia Live.
 
Z
nyaraka zipo lumumba we wataka ziletwe JF !! jumatatu ofisi ipo wazi unakaribishwa sana mkuu
itakuwa Feki tu na mnajua hakuna mtu anaweza kwenda huko kuulizia Risti, lakini Ukweli hakuna anayelipia Live bali TBC wametoa sadaka ya Live.
 
Back
Top Bottom