CCM kujenga Chuo Chao, Vyama vingine vikijenga msianze maneno, tunataka masomo tu.

Mbona bashite amewashinda
Hahahah unachekesha.. CCM iache kutimiza ahadi Yake ya kampeni ianze ku deal na mtoto mdogo makonda.. CCM kubwa.. Ipo mwanza, kigoma, mbeya, I Dodoma.. Hayo ya Dar malizaneni nyie wenyewe.. AFU Jiulize CCM au nyie ndo mmemshindwa makonda
 
Chama ambacho hakina ofisi hata mmoja kitakuwa na uwezo gani wa kujenga chuo? Kichekesho

sisi chuo chetu kitakua kwa mfumo wa Open University, sio lazima tumiliki majengo ya madarasa,

tutakuwa tunakodi ukumbi kwa ajili ya lectures kila Mkoa.

chochonde nyie wanaCCM tunaomba muwe wavumilivu msituletee fujo vipindi vikiwa vinaendelea.
 
Chama ambacho hakina ofisi hata mmoja kitakuwa na uwezo gani wa kujenga chuo? Kichekesho
Kwenye Katiba ya NCCR -Mageuzi wameweka huo mpango wa kujenga CHUO tangu mwaka 1995 - Hakuna wanachofanya, Vyama wamejimilikisha kama VITEGA UCHUMI - Na kibaya zaidi wana wafuasi nyumbu hawajui chochote. Anyway hata kama kikijengwa CHUO Kwa pesa za chama Kitakuwa MALI ya MTEI au MBOWE kama ilivyo TANZANIA DAIMA NA HAKUNA NYUMBU ATAKAEULIZA
 
Upinzani huu wa Mbowe ujenge chuo!!
Hahaha Unachekesha
kashindwa Kaofisi
 
Chama ambacho hakina ofisi hata mmoja kitakuwa na uwezo gani wa kujenga chuo? Kichekesho

Unashangaa cdm kukosa ofisi wakati serekali imevamia majengo ya Udom huko Dodoma? Cdm sioni umuhimu wa cdm kuwekeza kwenye ofisi za kujenga maana dunia ya sasa ya digital unahitaji ofisi ndogo tu na mambo mengine unafanya mtandaoni. Pia cdm wamewekeza zaidi kwenye bongo za watu kujitambua kuliko majengo. Kwenye majengo ya ccm ndipo unapokutana na watu wanaondekeza majungu, ushirikina, fitina na uchafu mwingine kama huo, kwa hiyo majengo sio issue bali fikra yakinifu ndio muhimu.
 
Chama kinaishi geto kwa miaka zaidi ya 20 kitajenga chuo mbinguni au? Labda chuo cha ma Dj na Mateja
 
Mitaala ya hiko chuo itakua kuwafundisha Technique za kufoji cheti, namna ya kuiba kura, namna ya kudhibiti upinzani, namna yakuwa zezeta
 
CCM ndio chama dume

Chama dume chenye kumiliki zaidi ya 90% ya ofisi zake ni zile ilizorithi enzi ya chama kimoja? Umewahi kuona hayo majengo ya urithi ya ccm yalivyochakaa? Ulimwengu wa sasa huhitaji maofisi makubwa ya kujenga haswa kama kinachofanyika humo ndani ya hizo ofisi sio uzalishaji, bali unahitaji huduma ya mtandao tu kufikia watu wengi. Kwa Mfano hapo Dodoma kumejengwa jengo la bunge, lakini JF inafanya kazi ya kuuhabirisha umma kuliko lilivyo bunge. Mfano mwingine hapo UDOM kuna majengo mengi lakini kadiri dunia inavyosonga watu wanazidi kusoma kwa njia ya mtandao (Online) hivyo kujikuta huhitaji kwenda kushinda kwenye jengo chuoni ili kupata elimu. Watu wanaowaza kizee ndio wanaamini kwenye majengo kwa shughuli ambayo sio ya uzalishaji.
 
Chama ambacho hakina ofisi hata mmoja kitakuwa na uwezo gani wa kujenga chuo? Kichekesho

Nyie mlijenga lini??Ofisi zote mlizonazo mmekwapua majengo ya serikali.Miaka 55 hamna hata chumba.wapuuzi kweli nyie mnadhani waatanzania ni type ya akina Bashite??
 
Ukisoma hicho chuo sijui utaajiriwa wapi

Acha kujiajiri

Labda ajira kwenye mashina ya ccm

Hakuna taasisi imara inayoweza kuajiri product ya lumumba

Kina bashite simnawaona?
 
Back
Top Bottom