Unajua madhara ya Chama tawala kushindwa kukidhi haja na matarajio ya wananchi? Hapo haijalishi kama kuna chama mbadala au hakuna, maisha yakiwa magumu ndipo yanapotokea mabadiliko ya nguvu ya utawala.Kwa akili yako FUPI ni CHAMA kipi Ambacho wewe unakiona ni MBADALA wa CCM kwa sasa??????.......subiri mpaka siku mbadala wa CCM akipatikana ndio CCM itatoka madarakani na hii ni baada ya miaka isiyo pungua au zaidi ya hamsini ijayo...Maana ndani ya CCM kuna VICHWA balaa......Na CCM mpya ndiyo hiyo inazaliwa
Kuuliza si ujinga , una akili timamu ?Kwa akili yako FUPI ni CHAMA kipi Ambacho wewe unakiona ni MBADALA wa CCM kwa sasa??????.......subiri mpaka siku mbadala wa CCM akipatikana ndio CCM itatoka madarakani na hii ni baada ya miaka isiyo pungua au zaidi ya hamsini ijayo...Maana ndani ya CCM kuna VICHWA balaa......Na CCM mpya ndiyo hiyo inazaliwa
Mkuu swali lako limetulia sana. Hivi hawa watu zinawatosha kweli? Maana hali ilivyo sasa hivi hata watoto wadogo wamegundua kuwa siyo ya kawaida lakini kuna watu wazima wanaona ni sawa tuu kama vile mazuzu.Kuuliza si ujinga , una akili timamu ?
Umeelewa mada au bora kuandika tuu? Rudi uisome kwanza.Hatuwezi kuwakabidhi wapinzani
Nchi hii siyo ya majaribio mtaendelea kuwa wapinzani mpaka mtakapotambua watanzania wanahitaji nini siyo kujali matumbo yenu na utapele wa kisiasa za majitaka
Kimeshindwa kukidhi haja ya matarajio yako na chadema wenzako tu.Na hata mmpewe nini hamtaridhika.Unajua madhara ya Chama tawala kushindwa kukidhi haja na matarajio ya wananchi? Hapo haijalishi kama kuna chama mbadala au hakuna, maisha yakiwa magumu ndipo yanapotokea mabadiliko ya nguvu ya utawala.
Imeshatokea sehemu mbalimbali duniani (hasa Afrika) na hapo ndio hata wale wa chama tawala wanapojutia kwa nini hawakuhakikisha vyama mbadala vinakuwa na nguvu kwani moto watakao uona wakitolewa kwa nguvu na wale jamaa ni balaa
Tatizo ndugu unashauri mfuNi ukweli usio pingika kuwa Chama cha Mapinduzi ndio chama kikongwe na chenye hazina ya wanasiasa wengi sana wenye uzoefu kwa vile wamekuwa katika uendeshaji wa nchi hii ndani na nje kwa miongo zaidi ya mitano.
Tukiona picha za vikao vya Halmashauri yao kuu au Kamati kuu, tunawaona watu kama Salim Ahmed Salim, Warioba, Butiku, Kikwete, Mwinyi, Msuya nk nk ambao ni wabobezi na tunaamini kwa nafasi walizokuwa nazo mpaka kustaafu hawana njaa kwani wanatunzwa vyema na pension ya serikali.
Sasa sababu ni nini wabobezi wanashindwa kujitathmini na kujua kuwa chama chao kimechoka na kuchokwa na kuwa uongozi wake wa sasa unakwenda ndivyo sivyo katika kuendesha Serikali hivyo kufanya watumishi wa umma kufanya kazi kwa Unafiki na kujikomba badala ya kutumia UBUNIFU ili kusaidia kukuza uchumi?
Au lengo ni kuwa mkikabidhi nchi 2020 iwe ime collapse na hoi kabisa kiuchumi? CCM inaweza kuchukua maamuzi magumu ya kumshughulikia wanaye muona anakifanya chama kishindwe kusimamia serikali ipasavyo hata kama hatua hizo zitasababisha uchaguzi ufanyike mapema kabla ya 2020 kwa manufaa ya nchi.
Wewe semea tuu mtandaoni. Kama unajihisi unazungumzia Watanzania basi maneno yako ya kusifia ccm nenda kasifie pale soko kuu la Kariakoo kama hujakumbana na dhahma kama vile mtu aliyeingia msikitini na kutangaza kuwa anauza nyama ya kiti moto kwa bei rahisi.Kimeshindwa kukidhi haja ya matarajio yako na chadema wenzako tu.Na hata mmpewe nini hamtaridhika.
Subiri tulete muswada wa kufuta ruzuku kwa vyama vya siasa mpaka kwenye uchaguzi ndio tutaheshimiana
mbwa mzee hafundishwi mbinu mpya za kuwinda, nashangaaa chadomo kutwa mnamtreini mzeee, poleni sanaMkuu swali lako limetulia sana. Hivi hawa watu zinawatosha kweli? Maana hali ilivyo sasa hivi hata watoto wadogo wamegundua kuwa siyo ya kawaida lakini kuna watu wazima wanaona ni sawa tuu kama vile mazuzu.
Mbinu gani Ccm wanazo zaidi ya uizi wa kura na kulinda madaraka kwa kutumia vyombo ya usalamambwa mzee hafundishwi mbinu mpya za kuwinda, nashangaaa chadomo kutwa mnamtreini mzeee, poleni sana
Wapinzani hawana Wagombea wala Chama Mbadala. Hilo ndio tatizo. Unaokotezaje Wagombea waliokataliwa na CCM halafu utegemee kuchukua Nchi??Ni ukweli usio pingika kuwa Chama cha Mapinduzi ndio chama kikongwe na chenye hazina ya wanasiasa wengi sana wenye uzoefu kwa vile wamekuwa katika uendeshaji wa nchi hii ndani na nje kwa miongo zaidi ya mitano.
Tukiona picha za vikao vya Halmashauri yao kuu au Kamati kuu, tunawaona watu kama Salim Ahmed Salim, Warioba, Butiku, Kikwete, Mwinyi, Msuya nk nk ambao ni wabobezi na tunaamini kwa nafasi walizokuwa nazo mpaka kustaafu hawana njaa kwani wanatunzwa vyema na pension ya serikali.
Sasa sababu ni nini wabobezi wanashindwa kujitathmini na kujua kuwa chama chao kimechoka na kuchokwa na kuwa uongozi wake wa sasa unakwenda ndivyo sivyo katika kuendesha Serikali hivyo kufanya watumishi wa umma kufanya kazi kwa Unafiki na kujikomba badala ya kutumia UBUNIFU ili kusaidia kukuza uchumi?
Au lengo ni kuwa mkikabidhi nchi 2020 iwe ime collapse na hoi kabisa kiuchumi? CCM inaweza kuchukua maamuzi magumu ya kumshughulikia wanaye muona anakifanya chama kishindwe kusimamia serikali ipasavyo hata kama hatua hizo zitasababisha uchaguzi ufanyike mapema kabla ya 2020 kwa manufaa ya nchi.
Baelezee ndugu! Batie akili kumukichwa!!Hatuwezi kuwakabidhi wapinzani
Nchi hii siyo ya majaribio mtaendelea kuwa wapinzani mpaka mtakapotambua watanzania wanahitaji nini siyo kujali matumbo yenu na utapele wa kisiasa za majitaka