CCM chukueni Hii ya Kagame 2030 Mgombea Urais awe na umri wa miaka 30-49

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
94,098
164,464
Sijajua Rais Kagame amewaza nini lakini nimeona ni ushauri Mzuri

Rais Kagame amesema mrithi wake wa uRais awe na umri wa miaka 30 hadi 49

Hii maana yake ingekuwa Tanzania uRais ungewahusu Akina Makonda, Mavunde, Jokate nk 😂😂🔥
 
Anajua hao hawajui kina Cha historia nchi ilipotoka!!

Wakubwa zaidi ya hapo wanakumbuka Kwa kina Nini kilileta mauaji ya kimbari enzi zile!!

Uongo mwingi ndio unajulikana kuliko ukweli!!
 
Sijajua Rais Kagame amewaza nini lakini nimeona ni ushauri Mzuri

Rais Kagame amesema mrithi wake wa uRais awe na umri wa miaka 30 hadi 49

Hii maana yake ingekuwa Tanzania uRais ungewahusu Akina Makonda, Mavunde, Jokate nk 😂😂🔥
Kenyewe kana umri gani?
 
Sijajua Rais Kagame amewaza nini lakini nimeona ni ushauri Mzuri

Rais Kagame amesema mrithi wake wa uRais awe na umri wa miaka 30 hadi 49

Hii maana yake ingekuwa Tanzania uRais ungewahusu Akina Makonda, Mavunde, Jokate nk 😂😂🔥
Anamlenga mtoto wake.
 
Days are numbered, hivi ukichukua ule umri wa Mungu toa na miaka aliyo nayo balance ni ngapi vile???
 
Sijajua Rais Kagame amewaza nini lakini nimeona ni ushauri Mzuri

Rais Kagame amesema mrithi wake wa uRais awe na umri wa miaka 30 hadi 49

Hii maana yake ingekuwa Tanzania uRais ungewahusu Akina Makonda, Mavunde, Jokate nk 😂😂🔥
Capt Ian Kagame.....
 
Rais Kagame amesema mrithi wake wa uRais awe na umri wa miaka 30 hadi 49

Hii maana yake ingekuwa Tanzania uRais ungewahusu Akina Makonda, Mavunde, Jokate nk 😂😂🔥
Wanakuwa bado viranja huko
 
Sijajua Rais Kagame amewaza nini lakini nimeona ni ushauri Mzuri

Rais Kagame amesema mrithi wake wa uRais awe na umri wa miaka 30 hadi 49

Hii maana yake ingekuwa Tanzania uRais ungewahusu Akina Makonda, Mavunde, Jokate nk 😂😂🔥
John, tunaongelea CCM ya watanzania sio Rwanda. Rwanda ni nchi ndogo sana kama mkoa wa, Kigoma.Kuiambia CCM ichukue ya Kagame ni kukidharau chama hiki. Nafikir wanaotakiwa kuchukua ya Kagame wapo na ni cdm na ACT. Ambao viongoz wao ni wa kudumu kama Kagame.
 
Mwinyi alianza kuongoza lini?
 
Hapo joo hapana.

Akilewa wanajipigia tu.

Labda awe wa walevi wenzie.
 
Paul Kagame : Tuanze Kutafuta Mtu Mwingine Kuubeba Msalaba Huu Mzito wa Uongozi wa Nchi

View: https://m.youtube.com/watch?v=4jTxt8_vCAk
Rais Paul Kagame amesema hayo mbele ya mkutano wa chama RPF ambao umependekeza jina lake kwa nafasi ya Urais na wanaRPF wengine 70 kugombea nafasi ya ubunge katika uchaguzi mkuu wa Rwanda baadaye mwaka huu 2024 ..

1710095011626.png

Mkutano wa RPF ambapo zaidi ya makada 2000 walihudhuri Kigali Rwanda katika makao makuu ya RPF-Inkotanyi, Rusororo
Source: RwandTV
 
Back
Top Bottom