CCM chini ya Magufuli si salama, majizi wote kimbilieni CHADEMA

KWANI KOSA LA NAPE NI NI NIN
 
mkuu, vipi tena.....mbona mnataka kulazimisha kuwaambukiza ugonjwa wenu sugu watani wenu?

vibaya hivo mkuu. haya mambo ya mwenyekiti wenu ni sinema ya kisiasa tu. walikuwepo akina "fagio la chuma", "mr clean", sijui nani - wakaishia kuanzisha kampuni binafsi wakiwa wakali ikulu.
 
Unakumbuka waliyokuwa wakisema wana ushahidi wa wazi dhidi ya ufisadi wa Lowasa ni akina nani?
Kwa faida yako soma hilo bandikoView attachment 513982
Wapinzani hawana polisi ,hawana DPP,hawana mahakama zao.ni jukumu la serikali kushughulikia wahalifu,kinyume na hapo itakuwa imejigeuza kalio.!!!
 
KWANI KOSA LA NAPE NI NI NIN
1. Kuwekwa vikwazo vya mapambano dhidi ya madawa ( Kuwatetea wasanii & Majizzo wa EFM na kuahidi kuwalinda )

2. Kufanya vitu ambavyo hana uwezo navyo tena kwa kulipua tu kwa kuwa tu ana chuki na fulani ( Ripoti ya Clouds alitumwa na nani aifanye wakati yeye binafsi hana uwezo wa kumwajibisha Makonda )

3. Kukikanzana hadharani na Boss wake yaani Rais - Makonda anawataja wasanii kwenye vita ya madawa yeye anapinga, rais anasema hata kama ni mkewe akamatwe. Makonda anaambiwa na Rais chapa kazi yeye Nape anaendelea tu na porojo zake za uchunguzi

- Huoni hiyo ni dharau ?
 
Aliye andika hii post mwandiko wake unaonyesha alisahaulika kwenye issue ya vyeti fake
 
True
 
Vyeti butu kama wengine wanaopoteza ajira sasa hivi
 
Baada ya miaka 10, atakuja mwingine kufischua uovu wa ccm na ununuzi wa hizi ndege unaweza kujikuta unamwambia tena magu akimbilie chadema..
 
Unamaanisha si salama kwa kila anayebishana na mwenyekiti?

Haambiliki akiendelea hivi atabaki peke yake
 
===

Ndugu Jobongo
Hoja yako inamaanisha kitu kimoja kikubwa kisichotamkwa wazi. Nacho ni kuwa "Ndani ya CCM kuna majizi; na sasa hayo majizi hayako salama".

Kama lengo lako lilikuwa ni kuisema Chadema, umepotea njia. Ujumbe wako unaihusu zaidi CCM.
Unachomaanisha cha pili bila kukitamka ni kuwa: Majizi yakitoka CCM, yaende Chadema ili kurekebishwa tabia iliyoshindikana kurekebishwa ndani ya CCM. Yaani Chadema ni josho la kusafisha wizi ndiyo maana unawashauri wezi waende Chadema kusafishwa ugonjwa wao wa kuiba.

Mwisho, unaipongeza Chadema kwa kazi nzuri ya kusafisha wezi na kuwafanya kuwa raia wema.

---/Baija
 
Sikiliza hii kitu!!

Polepole aulizwa: je, CCM inakiri kuwa ndiyo imetuangusha kama Taifa kwa mikataba mibovu ya madini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…