Franco Zetta
JF-Expert Member
- Nov 3, 2014
- 1,661
- 843
Tanga tumesha shtuka ati,hadhi ya mkoa wetu imeshushwa kisiasa toka nafasi ya pili nyuma ya Dar sasa hivi tuna tafutwa kuanzia chini pamoja na kilemba cha kupewa hadhi ya jiji, mji umekuwa wa ukiwa magofu ya viwanda kila mahali vijana wa Tanga ndio wamekuwa punda wa kusafirisha mihadarati kwa ukosefu wa ajira,walikuwepo wazee wetu kina Athumani Makalo,Chano Hamisi Mdanzi wakaipigania na kuinadi TANU/CCM watu waka ikubali kiko wapi? tuna taka kujaribu ladha ya mabadiliko sasa, ccm isijifanye ina tupenda sana TUMESHTUKA.