Can a president defect from his/her country?

Inawezekana kwann isiwezekane ni hatari na viashiria vya hatari ndivyo vinavyoweza kuleta mtafaruku kama huo.
Amini Dada
Ni mfano ulio hai
 
Inawezekana kwann isiwezekane ni hatari na viashiria vya habari ndivuo vinavyoweza kuleta mtafaruku kama huo.
Amini Dada
Ni mfano ulio hai
 
wakuu nawasalimu wote na kheri ya mwaka mpya...

Leo naomba kujua kama je inawezekana kwa rais kuitoroka nchi yake kama vile wafanyavo baadhi ya watumishi wa idara za ujasusi?

Ninawasilisha....
Ni swali zuri lakini sidhani, Rais hupewa heshima ya pekee hata akistaafu wadhifa huo
 
Espionage kama taaluma kuna mambo chungu zima.
--- kukamata majaususi wa adui wanao operate ndani ya nchi na Ku intercept mipango yao.
--- kuna kufuatilia mienendo ya viongozi wa serikali wa ngazi za juu pamoja na watumishi wa idara husika ya ujasusi kama wanaenenda na viapo vyao ( oath of office )
--- kulinda miundo mbinu muhimu kwa nchi kama petroleum pamoja na food reserves dhidi ya mashambulizi ya adui.
--- majasusi wa kijeshi (military intelligence) wao wanafanya tathmini ya hatari ya uvamizi wa kijeshi kutoka nchi yoyote ya jirani pamoja na ku verify military readiness ya jeshi kwenye kujibu mashambulizi ya ghafla ya adui.
--- intelligence inawezesha kupatikana kwa taarifa zitazowezesha policy makers kuunda sera za mahusiano ya nchi za nje pamoja na namna nzima ya kuendesha serikali.

Ujasusi ni somo moja refu sana wadogo zangu.
 
Back
Top Bottom