CAG agundua Ufisadi wa Bilion 7.9 Kivuko cha Dar-Bagamoyo

Leo tarehe 25 April 2016 repoti ya CAG Alhaj Prof.Mussa Juma Assad,inawasilishwa na kujadiliwa bungeni.Ripoti hiyo ni ya hesabu za serikali kwa mwaka 2014/2015.Pamoja na CCM kuhakikisha hatulioni bunge ili kuficha mambo kama haya,lakini baki hapa kupata updates za uwasilishaji.

CAG anaenda kuonesha How public funds were eaten under monitoring and supervision of CCM.CCM is going to be undressed. M/S Lugumi kitu gani,kuna uuzwaji wa nyumba za serikali na uchambuzi wa Thamani ya Fedha ya Miradi ya Barabara 2014/2015,Unajua halmashauri ngapi zimepata Hati Chafu/zenye mashaka?

Haaah haaah,usibadili channel.Updates:Spika anaarifu kuwa repoti za PAC na LAAC ambapo CAG husemeamo,hazita wasilishwa,mpaka mda utakapopangwa.Watawasilisha repoti za mawaziri tu.Connect dots.Yaani mtuhumiwa anajiwasilishia hukumu.Updatesamoja na umuhimu wa repoti na tukio kwa ujumla,TBC wametoweka baada ya kipindi cha Maswali na Majibu.Hii ni hujuma kubwa kwa sisi wananchi kushindwa kuona na kusikiliza ni nini msimamizi mkuu wa fedha ameona katika matumizi ya serikali.

===================

Mwaka 2013 Wizara ya Ujenzi ilingia No. AE/006/2012-13/HQ/G/CN-39 tarehe 25th April, 2013 na M/s Johs.Gram-Hanssen Bergensgade 10, DK 2100 Copenhagen Oe Denmark kutengeneza ferry ya abiria ya Bagamoyo-Dar jumla ya USD 4,980,000. Mkataba huu ulitakiwa kuanza 25th April, 2013, na uliongenzwa mda wa kuisha31st October, 2014(Rejea barua No.TMS/F/86/A/22).

Katika ukaguzi tumegundua mambo ya kusikitisha

  • Spidi ya ferry haiendani na ushauri na mahitaji ya wataalam. Wakati wa majaribio spidi ya Ferry ilikuwa mbaya sana, kati ya 19.45knots mpaka 17.25 knots kinyume na spiki iliyokubaliwa kwenye mkataba yaani 20 knots. Pungufu hili kubwa limesababisha ferry ishindwe kufanya kazi na hivyo kukosa thamani ya fedha. Huu ni ufisadi
  • Mkandarasi kushindwa kukabidhi hati Pamoja na kuwa ferry ilikabidhiwa kwa kuchelewa(ilikabidhiwa tarehe 17th November, 2014), ilikabidhiwa bila hati “goods certificate of acceptance’’ kinyume na taratibu za manunuzi, Reg.247 of PPR, 2013. Hata hivyo mpaka ukaguzi unamalizika hati haikuwahi kukabidhiwa na hakuna hatua zozote zilizowahi kuchukuliwa kwa wahusika. Hii imesababisha technical issues kutokurekebishwa kiwango cha kufanya kazi.
HOME WORKS

  • Kampuni hii ni ya nani au ililetwa na nani?
  • Unajua mkandarasi analindwa na nani?
  • Unajua ten percent katika mradi huu wahusika ni nani?
  • Kwa nini hakuna aliyetumbuliwa mpaka dakika hii?
Naona mmefufuka na mmepata kiki hata hivyo hatuwezi kuuhukumu utawala mpya kwa matukio ya utawala uliopita.

Jpm tumpe mda anaweza kutuvusha.
 
Loh ! Mpaka page inajaa Mtakatifu hajapata watetezi? Kweli tuhuma nzito!
Hii nisawa ujiunge na kanisa la wokovu lililo anzishwa na ulitetee sana, lakini ghafla unapata ushahidi kumbe askofu mkuu unayemtetea na kumpigania ni mtoto wa Lucifer mwenyewe!
 
QUOTE="OKW BOBAN SUNZU, post: 16001418, member: 52569"]Leo tarehe 25 April 2016 repoti ya CAG Alhaj Prof.Mussa Juma Assad,inawasilishwa na kujadiliwa bungeni.Ripoti hiyo ni ya hesabu za serikali kwa mwaka 2014/2015.Pamoja na CCM kuhakikisha hatulioni bunge ili kuficha mambo kama haya,lakini baki hapa kupata updates za uwasilishaji.

CAG anaenda kuonesha How public funds were eaten under monitoring and supervision of CCM.CCM is going to be undressed. M/S Lugumi kitu gani,kuna uuzwaji wa nyumba za serikali na uchambuzi wa Thamani ya Fedha ya Miradi ya Barabara 2014/2015,Unajua halmashauri ngapi zimepata Hati Chafu/zenye mashaka?

Haaah haaah,usibadili channel.Updates:Spika anaarifu kuwa repoti za PAC na LAAC ambapo CAG husemeamo,hazita wasilishwa,mpaka mda utakapopangwa.Watawasilisha repoti za mawaziri tu.Connect dots.Yaani mtuhumiwa anajiwasilishia hukumu.Updates:pamoja na umuhimu wa repoti na tukio kwa ujumla,TBC wametoweka baada ya kipindi cha Maswali na Majibu.Hii ni hujuma kubwa kwa sisi wananchi kushindwa kuona na kusikiliza ni nini msimamizi mkuu wa fedha ameona katika matumizi ya serikali.

===================

Mwaka 2013 Wizara ya Ujenzi ilingia No. AE/006/2012-13/HQ/G/CN-39 tarehe 25th April, 2013 na M/s Johs.Gram-Hanssen Bergensgade 10, DK 2100 Copenhagen Oe Denmark kutengeneza ferry ya abiria ya Bagamoyo-Dar jumla ya USD 4,980,000. Mkataba huu ulitakiwa kuanza 25th April, 2013, na uliongenzwa mda wa kuisha31st October, 2014(Rejea barua No.TMS/F/86/A/22).

Katika ukaguzi tumegundua mambo ya kusikitisha

  • Spidi ya ferry haiendani na ushauri na mahitaji ya wataalam. Wakati wa majaribio spidi ya Ferry ilikuwa mbaya sana, kati ya 19.45knots mpaka 17.25 knots kinyume na spiki iliyokubaliwa kwenye mkataba yaani 20 knots. Pungufu hili kubwa limesababisha ferry ishindwe kufanya kazi na hivyo kukosa thamani ya fedha. Huu ni ufisadi
  • Mkandarasi kushindwa kukabidhi hati Pamoja na kuwa ferry ilikabidhiwa kwa kuchelewa(ilikabidhiwa tarehe 17th November, 2014), ilikabidhiwa bila hati “goods certificate of acceptance’’ kinyume na taratibu za manunuzi, Reg.247 of PPR, 2013. Hata hivyo mpaka ukaguzi unamalizika hati haikuwahi kukabidhiwa na hakuna hatua zozote zilizowahi kuchukuliwa kwa wahusika. Hii imesababisha technical issues kutokurekebishwa kiwango cha kufanya kazi.
HOME WORKS

  • Kampuni hii ni ya nani au ililetwa na nani?
  • Unajua mkandarasi analindwa na nani?
  • Unajua ten percent katika mradi huu wahusika ni nani?
  • Kwa nini hakuna aliyetumbuliwa mpaka dakika hii?
[/QUOTE]
Pengine una point ya kuzungumzia, lakini kwa uandishi huu contents ni RUBBISH.
 
Naona mmefufuka na mmepata kiki hata hivyo hatuwezi kuuhukumu utawala mpya kwa matukio ya utawala uliopita.

Jpm tumpe mda anaweza kutuvusha.
Utawala uliopita?? Hawa anaowatumbua ni wa utawala upi? Na hii ripoti ni ya mtendaji yupi kwenye utawala uliopita? Tuseme tu ukweli hili taifa limekwisha haribiwa na CCM tangu Uhuru hadi kwa huyu mnaemsifia, kumbe ni mnafki tu lakini ni fisadi mkubwa.
 
UKAWA na kususia vikao,haya yatawapita na watashindwa kuyakemea na kuyawajibisha majipu ktk hiyo ripoti!...
 
Back
Top Bottom