CAF yamteua Millard Ayo kuripoti moja kwa moja michauno ya AFCON2017 kutoka Uwanjani

barafu

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
6,739
32,866

Mtanzania Millard Ayo achaguliwa na shirikisho la soka Afrika katika list ya Waandishi watakaoripoti michuano ya Afrika kutoka uwanjani

Michuano hiyo inatarajiwa kuzinduliwa rasmi Januari 14 2017 nchini Gabon.Katika nchi za Afrika Mashariki na CECAFA kwa ujumla,Uganda ndio atakuwa muwakilishi.

Kila la heri [HASHTAG]#MilladyAyo[/HASHTAG]
 
ila tatizo la mbwigga uswahili swahili (na vyeti hana=sidhani hata kama anajua kuandika/kusoma) nadhani wameona asituletee aibu nyingine hii tuliyo nayo ya KUTOKUJUA UNG'ENG'E inatutosha.

NB: Next time wamfikirie na yule DIVA akachombeze huko AFCON.
 
Yan katika,watangazaj wanaopiga pesa na,wanaojua nn wanakifanya,n huyu millard aiseee huyu jamaaa yuko vzr sana

Co kama,wenzie hapo wapo 10years na hawana hata kibanda n kubadilisha tu magar mjin na starehe

Mchomvu,dozen sudi,ziro
Amken vilaza nyie
Kaz kula tu bangi mkija Nairobi ndo mnasema na nyie mmenda kaz za njee
 
Nyumba kaijengea wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…