Hiyo business visa ni kwaajili shughuli za kipindi kifupi kisichozidi miezi 3 tu, lakini kama ni mambo kibiashara lazima aanzie TIC huko ataulizwa capital aliyonayo ya mtaji ni kiasi gani?na aina biashara sasa kama anakuja kupresent to product na kutafuta masoko atanapewa hiyo business visa ,na anatakiwa kuweka mawakala na kusajili hiyo kampuni tz ili wa tz wawe ma wakala wao ,