balibabambonahi JF-Expert Member Apr 5, 2015 15,374 13,771 May 17, 2017 #1 Wengi wakikufahamu kama Mr. Siri,ulifundisha wengi na wengi wanatumia notes zako za Accountancy.Ametutoka jana Mungu amlaze pema panapomstahili.
Wengi wakikufahamu kama Mr. Siri,ulifundisha wengi na wengi wanatumia notes zako za Accountancy.Ametutoka jana Mungu amlaze pema panapomstahili.
Chachu Ombara JF-Expert Member Dec 11, 2012 6,042 10,787 May 17, 2017 #3 Umeelezea kana kwamba kila mtu JF amjua. Ongeza nyama nyama. RIP mr. Siri
pecial JF-Expert Member Apr 4, 2017 734 555 May 17, 2017 #4 mwalimu wa wapi huyo ? Hebu dadavua zaidi
balibabambonahi JF-Expert Member Apr 5, 2015 15,374 13,771 May 20, 2017 Thread starter #5 MR. SIRI alifundisha shule nyingi na vituo vya tuition DSM.WOTE WALIOSOMA ECA WANAMJUA.
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Aug 7, 2014 92,382 112,023 May 20, 2017 #6 Chachu Ombara said: Umeelezea kana kwamba kila mtu JF amjua. Ongeza nyama nyama. RIP mr. Siri Click to expand... Labda wote tumesoma Accountancy kwake.
Chachu Ombara said: Umeelezea kana kwamba kila mtu JF amjua. Ongeza nyama nyama. RIP mr. Siri Click to expand... Labda wote tumesoma Accountancy kwake.