USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 10,803
- 25,856
Asante sana kwa kuwasaida vijana wadogo tunaowalea humu jf kisiasaKuondoa shillingi ni simply kutaka hoja hiyo ijadiliwe zaidi, mwisho wa siku ikiwa mbunge kapata majibu ya kuridhisha kwanini aendelee kushika hiyo shillingi? na akiendelea kushika hiyo shillingi maana yake inapigwa kura. Hapo inategemea na waliokuunga au kutokukuunga mkono hoja yako, mara nyingi upinzani hushindwa hapo kwa uchache wao bungeni.
Hilo la kusema kwa mara ya kwanza wewe unayaona, hiyo ni kuonesha kuwa kwa mara ya kwanza wewe unafatilia mambo ya bungeni. Hata ilipokuwa chama kimoja bungeni walikuwa wanazuwiliana shilingi, tuulize tuliokuwepo enzi hizo.
USSR