Mzito Kabwela
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 18,874
- 7,650
Mkapa wa Kiwira ni mstaafulowasa sio mstaafu, alijiudhulu kwa ufisadi
Mkapa wa Kiwira ni mstaafulowasa sio mstaafu, alijiudhulu kwa ufisadi
Wameshindwa turbine kwa ajili ya kufua umeme wa maji, na kuahidi kumaliza tatizo la umeme Tanzania ni helicopter?Hawa watutengenezee haraka hizo Helicopter
lowasa na genge lake tumbo joto.
Kwa mujibu wa Katiba ni Waziri Mkuu Mstaafu
Mkapa wa Kiwira ni mstaafu
Huwenda husikilizagi hata taarifa za habali.. Anaitwa waziri mkuu mstafulowasa sio mstaafu, alijiudhulu kwa ufisadi
Do you have any proof? If you don't, shut up and keep quiet.lowasa sio mstaafu, alijiudhulu kwa ufisadi
Eee bwanaee, watu wakipata pa kupiga wanapiga hasa. Huenda mahakama hii ikawa muarobaini wa matatizo kama haya. Hiyo ya kutaifisha mali zilizopatikana kwa njia ya ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka itamaliza tatizo na nchi itakuwa tajiri maana mali nyingi itarudishwa serikalini. Hongera mheshimiwa Rais, wazalendo tuko nyuma yako.View attachment 360058 Kiwanja, Nyumba na matofali hayo ni mali ya makamu Mkuu wa chuo. Mali hii inatokana na ujenzi wa jengo la Umwagiliaji la Chuo cha Ufundi Arusha. Zaidi ya matofali 20,000 yaliyochukuliwaa na Mkuu na Makamu Mkuu wa chuo
View attachment 360061 Viwanja hivi ni mali ya Mkuu wa chuo na vinatokana na ujenzi wa jengo la Umwagiliaji la Chuo cha Ufundi Arusha. Matofali yaliyochukuliwa na Mkuu wa chuo yalijenga nyumba ya Mkuu wa chuo iliyopo Njiro Arusha.
Do you have any proof? If you don't, shut up and keep quiet.
Huwenda husikilizagi hata taarifa za habali.. Anaitwa waziri mkuu mstafu
Malipo ya leo naona yataongezeka kama siyo ku-double. Umejitahidi.sana.huwezi kuforce mjusi kuwa nyoka kwa kumkata miguu, atabaki kuwa mjusi mlemavu.