02 April 2024
View: https://m.youtube.com/watch?v=Eib1-kDDAlQ
Wahoji mantiki ya Profesa Kitila Mkumbo kuondoa fedha ktk mzunguko wa fedha ili kupunguza mfumuko wa bei, wakati bei ya bidhaa zinaongezeka kutokana na upungufu wa bidhaa siyo serikali inavyofikiri watu wanapesa nyingi mifukoni ndiyo maana bei za bidhaa zinaongezeka.
Bunge la wananchi inapendekeza yafuatayo yafanyike kukabiliana na changamoto katika maeneo haya :

- Mfumuko wa bei
- Fedha za kigeni
- NBS Idara ya Takwimu
- Kuongeza uzalishaji viwandani
- Kuongeza uzalishaji katika kilimo BBT
- Uhakika wa masoko ya mazao ya kilimo
- Soko huru la Africa Tanzania imejiandaaje
- Elimu kuwezesha yote hapo juu, TAHASUSI na pia watanzania kujengewa uwezo wa kuweza kuhimili mikiki ya uwepo wa soko huru la Africa
- Dira ya Taifa 2000 - 2025 imefanikiwa nini katika nukta / point zilizotajwa hapo juu mbali na profesa kujinajibu amani na utulivu ulioletwa na dira lakini huku mitaani uhalifu umeongezeka kutokana na ugumu wa maisha na mazingira yasiyo wezeshi watu kujiajiri na kuajiri ..
- Kukimbilia Dira 2025 - 2050 bila kubaini tulipojikwa 2000 - 2025
- N.k