Bunge la Tanzania lina nidhamu sana mabunge mengine waje kijifunza

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,902
51,992
Bunge la Tanzania lina nidhamu sana linapofanya vikao.Nchi nyingi zinatakiwa kuja kujifunza hapa.Kama unabisha angalia hao

 
Hakuna kujifunza ni uwoga wa wabunge na vitisho vya Magufuli na kuogopa kulala selo
 
Wabunge wetu ni Ndugu!

Usiku wana share Vitanda, wengine wana share Mitungi ya bia baar,

Wengine mpaka wamezalishana

Wengine wapo kwny Madili ya Mabaraza ya Makanisa na Misikiti kuuza Mali za Wakfu

Wengine wana share Madili kwny Kamati za Bunge

Lissu na Mwanasheria Mkuu kuna Siku walipambana sana Bungeni lakin baada ya kutoka Lissu aka panda na kuondoka kwny Gari ya AG
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…