Bukoba vepe killa matokeo wao tu

ase BK ni asili yetu, ila ni kwa neema kwa kweli...

Pamoja na madharau ya viongoz wa kitaifa kwa majanga yetu ya kiasili, Mungu anatupa neema yake..

inawezekana hata hayo majanga ya kiasili, ipo haja ya kumshukuru Mungu maana anataka kuachilia utukufu wake kupitia sisi wanadamu wa BK..

2014, nilifundisha shule fulani kule missenyi mbali na changamoto za umeme na maabara kwa hyo shule, matokeo yao ya form 4 yamenifurahisha hadi raha...

Mungu endelea kunyoosha mkono wako kwa habar ya mkoa wetu na mikoa mingine, ila mapenzi yako yatimizwe
 
Tumerudi kwenye makali yetu. Hii inaoesha mitihani inasimamiwa vizuri. Hapa ndo nimeamini kipindi cha nyuma mitihani ilikuwa ikiibiwa.
 
Najisikia raha sana kuwa Mhaya! sidhani kama **** mtu anaweza kujivunia na Kabila lake bila kuona haya hapa Tanzania zaidi ya mhaya!
 
Mungu anawaona haiwezekani mitihan yote ninyi
Good people deserves good things
Kagera kuna shule inaitwa kaizirege, nadhani ndio imekuwa ya tatu this time, but two past consecutive years 2015&2016 ndio iliyoongoza...!?

Tukiachana na taaluma ya pale, sioni chuo kinachoweza hata kuikaribia quality ya mazingira, tukiachana na UDOM.
 
Hmmmm hujaona MUHAS kimazingira wako vizuri kuanzia lecture halls na lab and other facilities mpaka hostels
 
Muhaya wakweli hana ndugu Dar wala hawezi kujivunia kuwa na ndugu Dar....ana ndugu marekani na uswisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…