Bukoba: Mke afia gesti akiwa na mchepuko

Duh!sijui uwezo ulikuwa mdogo akakutana na pipe kubwa!sijui jamaa alisimamia kucha masaa manne!sijui alikuwa na maradhwi yake!dunia hii!
 
Hakuna ushahidi km waliingia hapo kuzini. Ndio maana godoro likawa chini (huenda walilala sehemu tofauti).
Sio wote wanaoingia gesti wa jinsia tofauti wanaingia kuzini.
Hata hayo mazingira ulivyokutwa mwili haioneshi kama kuna zinaa ilitendeka,godoro chini mwili kwenye kitanda,bado nashindwa kuunganisha.
 
Isije kuwa jamaa kamtoa ndagu huyo Dada kisha akatoweka,wadada kuweni makini sana na haya mambo.
 
Utata.

Yawezekana pia huyo jamaa yake aliekuwa akingonoka nae ambae ameingia mitini anahusika kwa namna moja ama nyingine.

Uchunguzi wa kina unahitajika
 
Hakuna ushahidi km waliingia hapo kuzini. Ndio maana godoro likawa chini (huenda walilala sehemu tofauti).
Sio wote wanaoingia gesti wa jinsia tofauti wanaingia kuzini.
Ok sawa.., basi hebu tu-assume kwamba walikwenda gesti ili bidada akafanyiwe maombi ili kumtoa mapepo yaliyokuwa yakimsumbua sasa nadhani pasta alitoa dozi kubwa zaidi hadi kupelekea umauti wa mwanamama au??
 
Hakuna ushahidi km waliingia hapo kuzini. Ndio maana godoro likawa chini (huenda walilala sehemu tofauti).
Sio wote wanaoingia gesti wa jinsia tofauti wanaingia kuzini.
Unajua kwanin godoro waliliweka chini?
Sababu ni kwamba unapokuwa unafanya mambo ya kusex na mwanamke yoyote huko bukoba lazima ujue matumizi ya katerero
NB. Katerero nzuri ni kuifanya endapo mtatoa godoro kwenye kitanda na kuliweka chini
 
Back
Top Bottom