Snipes JF-Expert Member Jul 2, 2013 9,109 16,680 May 20, 2017 #1 hatimae klabu ya Simba imeshinda rufaa yao ya FIFA na wamepewa kombe la dunia la wanawake.... [HASHTAG]#WapostPumba[/HASHTAG]
hatimae klabu ya Simba imeshinda rufaa yao ya FIFA na wamepewa kombe la dunia la wanawake.... [HASHTAG]#WapostPumba[/HASHTAG]
Snipes JF-Expert Member Jul 2, 2013 9,109 16,680 May 20, 2017 Thread starter #5 Shokonzi said: tumelipokea tayari! Click to expand... i see
Joseverest JF-Expert Member Sep 25, 2013 52,470 70,588 May 21, 2017 #6 Uchochezi sasa huo kwa mezani Fc
Washawasha JF-Expert Member Aug 7, 2006 16,708 13,158 May 22, 2017 #10 Safi sana ila kaa ukijua kuwa simba ilicheza na timu ya wanawake yanga ndio wakapewa kombe hilo. No log off
Safi sana ila kaa ukijua kuwa simba ilicheza na timu ya wanawake yanga ndio wakapewa kombe hilo. No log off
reyzzap JF-Expert Member Oct 3, 2014 6,796 21,702 May 22, 2017 #13 Ndo mana bongo tunaambiwa nimoja ya nchi zinazoongoza kwa watu kukosa furaha. Binafsi n sisi wenyewe ndo tunalichangia hilo mana bongo siku mwenzako akakuotea hak ya nan atabuni kila njia akukosesha aman tuu . Kwa Majungu hata england wanasubr
Ndo mana bongo tunaambiwa nimoja ya nchi zinazoongoza kwa watu kukosa furaha. Binafsi n sisi wenyewe ndo tunalichangia hilo mana bongo siku mwenzako akakuotea hak ya nan atabuni kila njia akukosesha aman tuu . Kwa Majungu hata england wanasubr
sonjames JF-Expert Member Jan 4, 2017 289 385 May 22, 2017 #15 Ama kweli Bangi na Don Nyati huwa havijifichi hivi vitu, kweli, mchana kweupee vitakuumbua tu
K kabunda88 JF-Expert Member Nov 8, 2015 3,094 2,684 May 22, 2017 #16 wameshinda ile rufaa toa habar ya kueleweka