Bodi Ya Mkopo na Chuo Kikuu Mzumbe hili Sio sahihi

Kijana Mkuu

New Member
Dec 15, 2016
2
1
hakika ndugu zetu wanateseka sana kule mzumbe sijajua kwanini VC yupo kimya na bodi
Mkopo walisaini Kota ya pili mwezi uliopita lakini mpaka saivi hawatapa hela zao na Rais wetu alitoa ahadi hakuna atakayeleta longolongo kwenye maswala ya mikopo...

MH RAIS, WAZIRI WA ELIMU NA WADAU WA MAENDELEO YA ELIMU TUNAOMBA MSAADA WENU
 
Hapo kwenye disqualification nadhani hata mh rais akisikia atafurahia sana. Hivi kama wanafunzi walio dahiliwa uwezo wao mdogo kiakili unategemea nini? Mbona udsm ni wanoko tena unaweza kuta prof anamchukia mwanafunzi kisa hajamsalimia na wana disco kinoma mbona hatulioni, na kwa tuliopitia udsm tunajua vizuri hili.
 
Lakini sio Disko 300 ndugu yangu tena za makusudu kabisa aa
 
Mbona madai yenu mhusika mkuu ni bodi ya mikopo ila mnazunguka zunguka mara hosteli mara supplementary mara disco. Usomi wenu uko wapi kama hamuwezi kufocus kwenye tatizo la msingi na kulijengea hoja tuwaelewe?
 
Lakini sio Disko 300 ndugu yangu tena za makusudu kabisa aa
Hata kama wange disco wote sioni kama kuna tatizo. Kwa sisi tuliosoma nje na tz unaona kabisa jinsi vijana wa sasa mlivyo. Mtu unakuta anawafahamu wachezaji wa ligi ya ulaya zaidi ya course content ya masomo yake. Unakuta mtu yupo tayari asile ili akaangalie mpira na siyo ahudhurie kipindi. Unakuta mwanafunzi yupo bora awe updated na umbeya wa whatsapp kuliko kumsikiliza lecturer. Yaani kwa ufupi natamani nione vijana wote wana disco ili liwe fundisho
 

Fact
 

kuna koment halo juu umesema ulisoma udsm, sasa kwenye hii koment nayo unadai ulisoma nje ya Tanzania, mbona haueleweki? kama haujasoma kubaliana na hali maana watu kama nyie hamchelewi kuwaambia watu wengine kuwa nyie ni maprofesa. poor you Mtoto Wa Lumumba
 

kuna koment hapo juu umesema ulisoma udsm, sasa kwenye hii koment nayo unadai ulisoma nje ya Tanzania, mbona haueleweki? kama haujasoma kubaliana na hali maana watu kama nyie hamchelewi kuwaambia watu wengine kuwa nyie ni maprofesa. poor you Mtoto Wa Lumumba, msalime bosi wako magufuli
 
....mav..yako. Akili zako kama mak.lio. Ndiyo maana mnadisco. Hivi hujui mtu akisoma nje degree ya 1 na ya 2 bongo hiawezekani? Yaani una IQ panzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…