Bodi ya mikopo (HESLB) wafungiwa milango na waajiri

Wanahangaika sana hawa jamaa, juzi nimekwenda kuchukua statement yangu cha ajabu haioneshi hata mwezi mmoja niliowalipa wakati huu ni mwaka wa pili tangu nimeanza kulipa deni lao. Hovyo sana hawa jamaa, sijui huko shuleni walikwenda kusomea ujinga!!!

Wanajua kuchibua tua,sio wakike sio wakiume.
 
Kwa mujibu wa Sheria huyo mwajiri faini ya Mil 7 ama kifungo vinamhusu. Tusisifie uvunjifu wa sheria zaid zaid hao wa Asia wa Pepsi wana dharau.
 
Kwa mujibu wa Sheria huyo mwajiri faini ya Mil 7 ama kifungo vinamhusu. Tusisifie uvunjifu wa sheria zaid zaid hao wa Asia wa Pepsi wana dharau.


ACHA UJINGA wewe basi...
Unaleta habari za KIJINGA hapa pumbavv nani akusapoti!!!!!

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG]
 
Silipi ng'oooo hadi wale wadaiwa wa eskroooo walipe,jina la nililotumia shule walilikosea so wakisachi hawanipati na sipo katika wadaiwa sugu nimesomeshwa na ile ni kodi ya bibiangu,babu,mjomba,wazaz,na ndugu wengine so siyo deni,
Mkuu kama hutaki kulipa badili FORM 4 INDEX NUMBER.
 
Ni kweli kuanzia mwezi huu wafanyakazi wa serikali wataanza kukatwa madeni ya bodi ya mikopo elimu ya juu?
 
Mkuu kama hutaki kulipa badili FORM 4 INDEX NUMBER.
Wala sijihangaishi nimewapigia mwaka jana kuuliza ninadaiwaTsh ngap? Wakanambia sikupata mkopo wakati walinipa 40%,waliniumiza sana mi niliomba 100% wakanipa kiduchu,sasa mi napata wapi uzalendo wakati nilipewa mkopo kidogo.
 
Hawa Bodi ya mikopo waache vurugu. Madeni hayadaiwi kwa vurugu, Serekali yenyewe inadaiwa sembuse watu Binafsi. Ukiona unayemdai halipi ujue Hali yake kiuchumi sio nzuri. So waache vurugu katika kudai!
 
Back
Top Bottom