Binti yake Raila Odinga aiomba msamaha Tanzania

Cjasikia ata kiongozi mmoja akilisemea hili labda hawajaskia bado!
 
Utakuwa na tatizo la APEDOMIA
 
Haya yote yanatokana Na uongozi mbovu wa serikali ya CCM, badala ya kufanya vya maana wako bize Na upinzani, chama na serikali vya ovyo sana kuwahi tokea duniani

Pumbavu CCM Hapa Imeingiaje? Je Hao UKAWA Wako WAMEFANYA Nini Labda Katika KUITANGAZA Nchi Zaidi Tu Ya Kila Kukicha Kutaka Kuleta MACHAFUKO Hapa Nchini? Kwahiyo Hiyo Olduvai George Ni Ya Wana CCM Tu Pekee Wa Nchi Hii? Badala Ya Kuzungumza KIUTAALAM Na KISOMI Kuwa Nini Sisi Kama WATANZANIA Tukifanye Wewe Unaingiza SIASA. Na Ndiyo Maana Kila Kukicha Napiga Magoti Kwa Mwenyezi Mungu Bwana Donald Trump Apite REPUBLICAN Na Pia Achaguliwe Na Wamarekani Kuwa Rais ILI ATUKOMESHE WAAFRIKA Wenye AKILI Za KIPOPOMA Kama Hizi. Umeshaniharibia Siku Yangu.
 
Tatizo wizara ya mali asili na Utalii haitangazi Tanzania na vivutio vilivyopo Tanzania.
Ila pia ni mjinga pekee ndio atakayeamini Kuwa mlima kilimanjaro uko kenya au hiyo Oldvai mzungu kabla hajaa sehemu anaserch kwanza kwenye Google na kusoma kila kitu.

Wakenye wana usemi wao wanasema (visit Kenya and see Mountain Kilimanjaro), sekta yetu ya utalii ni jipu sana inatakiwa kushuhulikiwa, unakuta kampuni za tours ndio zinatangaza utalii wetu kuliko wizara yenyewe.
 
Poor tanzania foolishness over their mind
 
Sasa wizara kama imejaa makada unategemea nini?
 
Ukitizama kwa undani utaona kuna roho ya kushindwa kwa hawa wakenya, na ukaingalia ndani zaidi, jinsi wanavyoitizama cnhi yetu kwa utawala wa sasa.

Katika historia, aliyegundua na kutangaza kuhusu binadamu wa kwanza ni Dr. Leakey, ambaye, aliishi Kenya na wanawe bado wapo na ni wazungu wa Kenya. Inaonekana walijaribu kuwafundisha toka utotoni, kama anavyosema kwamba hilo fuvu liligunduliwa Olorgesailie, lakini kila watu wakienda hawapaoni haswa, na wanaambiwa wanahitaji kibali cha mpaka kuingia pahala ambapo fuvu liligunduliwa.... na hivyo, ni kuingia TZ.

Sasa, bila shaka uwongo wao umefika mwisho, ndo maana wakajipanga kuhamisha Olduvai gorge ati iwe ipo Kenya.

Lakini jambo moja la busara sana ni kwamba, kwa sasa wamekwama kwa sababu mipango ya utawala mpaya kuwaleta watalii moja kwa moja kwa ndege za shirika letu kutawafanya wakose vyote.

Kingine labda, wanaohusika na maswala ya utalii nao ni manyoya sana, kila mara wanaishia kunun'gunika na kutaka matamko ambayo yanatufanya kuendelea na unyonge wetu.

Inatupasha tuwe na counter strategies, kutangaza na kufanya hayo tunayoyatangaza, kama kutamka kipi kipo wapi watalii wenyewe watasema baada ya kujionea, na ushahidi huo ni usiopingika. Kwa hivo, tuachane nako haka kadada na dharau zake tujipange na kufanya siyo kunun'gunika nun'gunika ovyoovyo.
 
INA MANA KWENYE ULE MKUTANO HAKUKUWA NA MUWAKILISHI KUTOKA TANZANIA???? KAMA ALIKUWEPO ALICHUKUA HATUA GANI NA KAMA HAKUWEPO MUWAKILISHI KWANINI ILIHALI KENYA ILITOA MUWAKILISHI????

HAPA NATAKA KUSEMA KUWA WAKENYA WANAFANYA YOTE HAYA KUTOKANA NA UZEMBE WETU.....
 
Exactly its true
 
HAJAKOSEA.ALIFANYA MAKUSUDI NA HIYO NI MBINU YA WAKENYA KUJITANGAZA KWA SABABU YA MASLAHI.KENYA WANA MATATIZO YA UKABILA ILA KWENYE MAMBO YA UZALENDO WANATUZIDI MBALI SANA.MTANZANIA YUKO TAYARI KUSHIRIKIANA HATA NA OSAMA KWASABABU TU HAIPENDI CCM.NA HICHO ALICHOKIFANYA HUYO DADA KINA BARAKA ZA WAKENYA WOTE NA HIYO SIYO MARA YA KWANZA.WAMEKUWA WAKIFANYA NA INAWALIPA
MFANO:KUNA MTALII ALIWAHI KUJA KUPANDA MLIMA KILIMANJARO AKIJUA UPO KENYA.ALIUPANDA TANZANIA NA AKATOA MISAADA YA KUSAIDIA WATOTO YATIMA KENYA.
 
Aliposemea hayo maneno ndiyo anatakiwa akaombee radhi huko au awaite waandishi wa habari pamoja na balozi wa Tanzania nchini Kenya siyo kuombea radhi Facebook, amkutuma wewe dalali wao.
 
Nja aliyosemea makosa yake, ndo anapaswa akutumia njia hiyohiyo kuomba msamaha. Na sio kwenye vi-instagram
 
Haya yote yanatokana Na uongozi mbovu wa serikali ya CCM, badala ya kufanya vya maana wako bize Na upinzani, chama na serikali vya ovyo sana kuwahi tokea duniani
Speech yake aliitoa miezi Saba iliyopita mkuu, ningekua mwandishi wa habari ningewatafuta mpaka niwapate Watanzania waliotuwakilisha siku hiyo
 
Nimemsikilia msemaji wa serikali akilizungumzia hili suala na ndio nimegundua kuwa bado tuko mbali sana katika haya masuala. Sitaki kukubaliana na kauli ya rais wa zamani wa Kenya kuwa Mwalimu alikuwa 'anatawala maiti' maana inaumiza sana ila itatuumiza zaidi pale tutakapoigundua kuwa ilikuwa na kaukweli fulani.
Hivi ingelikuwa kwenye mtihani na huyu binti akajaza hili jibu mnadhani angalipata hizo marks!? Sasa ni kwa nini tusijiaminishe tu kuwa 'elimu ya Kenya ni mbovu' mpaka wanaopewa nafasi ya kuongea UN hawajui hata historia/jiografia ya nchi yao achilia dunia! Sina uhakika kama wengi tulifuatilia jinsi South Africa walivyotumia ubia wa ATC kujinufaisha kwa kuiaminisha dunia kuwa ukitaka kufika Ngorongoro, Serengeti, Zanzibar, Kilimanjaro nk utapelekwa na SAA. Na wanaendelea kufaidi huo 'uongo' hata baada ya mkataba kuvunjika!
Kilicho wazi ni kuwa watetezi wa nchi ni wananchi na sio wanasiasa na huyo binti katika kiwango chake anajaribu hata kushawishi watu kwa uongo ili nchi yake ijulikane. Ndio maana hata wacheza mpira wengi wa Afrika Magharibi wanazamia kwa pasipoti bandia kuingia Ulaya lakini wakishapata mafanikio wanajipambanua kulingana na nchi wanazotoka.
Sisi tutabakia kuwashutumu Wakenya badala ya kushutumu mambo yanayotudumaza kama mazuio feki ya uchaguzi wa meya kutoka mahakamani.
Isikilize hii clip:
https://www.facebook.com/
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…