Mkuu C.T.U upo sahihi kabisa na kingine nilichojifunza ni kuwa huyu binti anatoka familia ya kawaida tu ya Watanzania wa hali ya kati(?)Aaaaah sie huyo hatuhusu ila mwanadada akienda big brother akionesha NIDO zake kule mbele ya bara la Africa akija hapa anapokelewa na waandishi wa habari akitoka hapo bonge la party escape one akitoka hapo anunuliwe gari na kina chief kiumbe na awe na followers laki moja instagram maisha yanaenda
WATANZANIA HATUJAWAHI KUWA SERIOUS.....
Tuko serious bwana..!!! Sema hujatembelea Instagram.Aaaaah sie huyo hatuhusu ila mwanadada akienda big brother akionesha NIDO zake kule mbele ya bara la Africa akija hapa anapokelewa na waandishi wa habari akitoka hapo bonge la party escape one akitoka hapo anunuliwe gari na kina chief kiumbe na awe na followers laki moja instagram maisha yanaenda
WATANZANIA HATUJAWAHI KUWA SERIOUS.....
Kujua kwamba Taifa lina Extraordinary People..Inatusaidia vipi kama nchi?
Kujua kwamba Taifa lina Extraordinary People..
Post imeanza kuchangiwa kwa Utani nami nimeendeleza Utani mkuu...Ipi? kuongea kitu alichoambiwa aongeee ni extraordinar? Lets be serious
Ameitangaza nchi kama mwanaharakati chipukizi wa mazingira katika jukwaa la Umoja wa Mataifa. Umri, ubora wa taasisi ya elimu anayopata elimu ya upili na familia yake vinapaswa kuwa chachu ya kuboresha elimu inayotolewa katika shule za serikali hususani uendelezaji wa vipaji vya watoto kwa manufaa ya taifa.Inatusaidia vipi kama nchi?
Mkuu C.T.U upo sahihi kabisa na kingine nilichojifunza ni kuwa huyu binti anatoka familia ya kawaida tu ya Watanzania wa hali ya kati(?)
Mkuu accused upo sahihi sana,sikutaka kusema yote hayo...ushauri wako upo sahihi sanaMkuu hata Mimi nimeona kitu kama hicho. Kwa muonekano wa waliomzunguka ni dhahiri hao wawili ni wazazi wake na wanaonekana wa kawaida kabisa.
Huyu Binti kiukweli kabisa ilitakiwa Mh. John Mongela na executive officers wote wa jiji la Mwanza wakamlaki na hata kumtia moyo kwa hafla fupi somewhere.
Huyu Binti ana convidence ya hali ya juu. Ana kipaji kikubwa ndani yake , na wito wangu kwa wana Jf walio jirani na maboss wa wizara ya elimu au hata na Prof. Ndalichako , pls hamasisheni huyu mtoto afuatiliwe sana.
Ni mtizamo Wangu !!
Binti huyo huenda hajasoma Kabisa shule za Serikali.