Majok majok
JF-Expert Member
- Aug 3, 2023
- 783
- 2,055
Ni muendelezo wa kuwafunga midomo wale wote waliokuwa wanabwata ya kwamba kombe la shirikisho lilikuwa na timu dhaifu, kwa walioangalia mpira wa Al ahly na USM alger atakubaliana na mimi ya kwamba yanga alicheza fainali na timu bora barani afrika kwa sasa.
Pamoja na yanga kukutana na timu bora bado alionyesha kiwango bora mbele ya waarabu hao mpaka wakafanya vitimbi vya kila aina ili wabebe ubingwa wa shirikisho, lakini kwa mara nyingine tena wamedhihirisha kuwa ni timu imara baada ya kumpa kichapo bingwa wa klabu bingwa barani afrika na kubeba ndoo ya pili mfululizo!
Mpaka hapo kwa mwenye akili timamu ni lazima awape yanga maua yao kwa kuwa na kikosi bora na imara kilichowasaidia kufika fainali ya kombe la shirikisho barani afrika!