MahedeMkorofi
Member
- Jul 12, 2016
- 74
- 123
Hata Kwa vitendo unashindwa kuelewa akili ku mkichwa kazi kwakoWana jamvi naomba nisaidieni,
Kuna dada mmoja mrembo ambaye ni mtoto wa mjomba, ni mwezi mmoja sasa tangu tumefahamiana.
Mwanzoni tulipokutana, alikuwa ananiita kaka, mara akaanza kujiita mke mdogo, lakini sasa siku zinavyozidi kwenda ananiita baby. Nisipowasiliana naye siku mbili tu analalamika nimemtenga, siku akiwa off anataka niende kwake nikamtembelee.
Nakumbuka alilalamika sana kwanini sijamnunulia nguo za sikukuu ya EID, akadai nampendelea mke mkubwa tu, yaani mke wangu wa ndoa.
Jamani hivi maisha ya ubinamu ndio yako hivi? Maana mimi sijazoea haya mambo.
Dini hairuhusuDini inaruhusu kuongeza?
Kumbe ananichukulia poaameamua kukuita baby baada ya kukuona una mambo ya kitoto muda wote huo huelewi anachotaka kama sio mtoto utakua na mambo ya kitoto
Mkuu, heshimu ndoa yako.. heshimu mke uliyemtukuza kuwa mama watoto wako.. "Utanusurika ukijinusuru!!"Wana jamvi naomba nisaidieni,
Kuna dada mmoja mrembo ambaye ni mtoto wa mjomba, ni mwezi mmoja sasa tangu tumefahamiana.
Mwanzoni tulipokutana, alikuwa ananiita kaka, mara akaanza kujiita mke mdogo, lakini sasa siku zinavyozidi kwenda ananiita baby. Nisipowasiliana naye siku mbili tu analalamika nimemtenga, siku akiwa off anataka niende kwake nikamtembelee.
Nakumbuka alilalamika sana kwanini sijamnunulia nguo za sikukuu ya EID, akadai nampendelea mke mkubwa tu, yaani mke wangu wa ndoa.
Jamani hivi maisha ya ubinamu ndio yako hivi? Maana mimi sijazoea haya mambo.
Basi mwambie ajiheshimuDini hairuhusu