Bila ya uvamizi wa Oman, Zanzibar ingekuwa wapi?

Tunasikia lugha za kifidhuli na za kukebehi mwaliko wa Oman ndugu zetu wa kiroho kutusaidia kuwaondoa na kuuzika utawala wa kibeberu wa Kireno Zanzibar uliodumu karne kwa karne.

Tuliiushuhudia utawala wa kisultani ulivyoinyanyua Zanzibar na watu wake.

1. wakati wa vita vya dunia wazanzibari waliojiunga na jeshi laUingereza walikuwa wanapata " special treatment" na hata a chakula walikuwa wanapewa tofauti na watu wa makoloni yake.
2. Uchumi wa Zanzibar ulipanda na ulikuwa nchi ya pili barani Afrika baada ya Ghana
3. Nchi ya kwanza Afrika ya mashariki kuwana nuumba ya ghorofa na "lift".
4.Zanzibar imekuwa na taa za mitaaani kabla hata ya mji wa London
5 kumiliki usafiri wa majini mambo kadhaa wa kadhaa

Wakati wa utawala wa kishenzi wa kireno, wazee wetu waliambulia ibada ya kulazimishwa kwa nguvu ya kikafiri tu!

Lakini kubwa wazanzibari wanajiuliza kama angebaki chini ya mreno leo tungekuwa wapi? koloni la Tanganyika hadi kufikia kuchaguliwa watawala? au Zanzibar leo ingelikuwa kama Cape Verde?

Ami Sheikh Thabit Kombo tutaendea kukukumbuka daima na Allah azidi kukurehemu, lakini hatukusamehe kamwe kuiuza Shirazi Party yetu kwa wakatamaji.
Nenda Oman kuwasaidia waarabu wenzako wanaokimbia dhiki ya hao uliowahi kuwatumikia.
Wateno walikuja wakatuacha, Waarabu walikuja wakatuacha, tulia huko uliko na songa mbele huko huko kwa waarabu wenxio.
 
Mm wote nakubali ila seif iddi kuniambia mzanzibar ckubali kasaa na kuhusu kutawaliwa bora kutawaliwa na mreno au mwarabu kuliko kutawaliwa na mkoloni mweusi (ccm) kutawaliwa na ccm ni sawa na kula kinyesi cha nguruwe
We mwenyewe kinyesi cha nguruwe!!!
 
Mimi nakubaliana na wewe. lakini kila siku najiuliza why imewachukua Oman's settlers 8 yrs kuichukua Zanzibar wakati tayari wameshavunja ngome ya ureno? ambayo ilikuwa Mombasa. Ukiangalia kwa makini sana chain of events utaona ya kuwa Oman's settler hawakuja east African kwa sababu wameitwa bali walikuja kwa lengo la kumuondosha mreno na kuichukua wao himaya ya mreno na ndiyo maana utakuta hawakuishia Zanzibar tu( ambako tunadanganywa wameitwa bali walifika mpaka kilwa na wakahakikisha ukanda wote wa pwani wa east Africa uko chini yao.

Tatizo unaisoma historia kama ilivyochakachuliwa ( customized) na wana siasa uchwara wanaochukia hata matukio. Mreno alipoichukua Zanzibar na kuuvunja utawala wa Malkia Mwana wa Mwana ambae mumewe alikuwa mtu wa Yemen, na hivyo akakimbilia Yemen

Raia zake walijenga umoja wa masheikh kama vile UAMSHO uliojumuisha Kilwa na Mafia , unguja na Pemba na wakafanya safari kwenda kuwaomba msaada Oman. Wakati huo Oman walikwisha kuwan'goa wareno nchini kwao.

Inawezekana kama kulikuwa na dhamira nyengine nyuma ya pazia lakini tukio la kwenda kuomba " physically" lilikuwepo. Na ingekuwa si rahisi kuwatoa bila kupata msaada wa kiroho na mali kutoka kwa wenyeji.

Pengine nikujuulishe kuwa Pemba waliweza kuawafurusha Wareno wenyewe bila ya msaada wa Oman. Inasemekana Pemba ndio ilioumia zaidi chini ya utawala wa kireno kuliko sehemu nyengine.
 
Nenda Oman kuwasaidia waarabu wenzako wanaokimbia dhiki ya hao uliowahi kuwatumikia.
Wateno walikuja wakatuacha, Waarabu walikuja wakatuacha, tulia huko uliko na songa mbele huko huko kwa waarabu wenxio.
Oman imetulia lakini kila kukicha mnapeleka watumwa( watumishi) wa kitanganyika kufanya kazi za nyumbani na ukahaba kwenye nyumba hizo hizo za waarabu. Jichunguze kwanza kabla kutukana. Ndio wanaokulisha na kukuvisha
 
Mi.i namsubiri donald trump achagiwe .washirazi asilili yao sio afrika ni iran .someni historia na mji mkuu wa kwanza wa washirazi ulikua ni tumbatu .na baadae mji mkuuvukawa unguja ukuu kabla wareno haqajauvamia na kuuharibu .waomani waliombwa na washirazi waje wasaidie kuwaondoa wareno na kweli walikuja na kuwaondoa .ni fitna zililetwa kutoka bara za kuwagawa washirazi na waarabu .lakini wote walikua wanatawaliwa na sultani .na muengereza wote walikua maskini
Wanamajlis,
Tusome historia ya wazalendo wa Zanzibar na Oman.
Yapo mengi ya kujifunza:
Mohamed Said: NEW BOOK: MY FATHER AMOR ALI AMEIR HIS LIFE AND LEGACY
 
Wazanzibar wataamua, lakini utumwa wa Waarabu Hautaruhusiwa Kurejea, Kama nchi lazima tuwe makini na Oman, wapokatika harakati za muda mrefu za kuitawala upya Zanzibar, wachangiaji wa uzi huu pitieni upya kitabu cha "KWA HERI UKOLONI KWA HERI UHURU" na nina isiyo nzuri ya WAOMAN na nchi hii, Bila shaka wanandoto za Oversees territories na Zanzibar ni kipaumbele
 
Ami Sheikh Thabit Kombo tutaendea kukukumbuka daima na Allah azidi kukurehemu, lakini hatukusamehe kamwe kuiuza Shirazi Party yetu kwa wakatamaji.[/QUOTE]

Shein na Seif Idd wamuulize Pinda atawambia iwapo wanatawala nchi au wilaya.
 
Wanamajlis,
Tusome historia ya wazalendo wa Zanzibar na Oman.
Yapo mengi ya kujifunza:
Mohamed Said: NEW BOOK: MY FATHER AMOR ALI AMEIR HIS LIFE AND LEGACY
Inshallah .tatizo shk mohammed hitoria zinazosomwa zimeandikwa na watu wasioijua hara zanzibar .wanajua zanzibar ni ilikua u guja na pemba tu .hawajui kama somalia ,congo ,kenya .tanganyika mozambique zote zilikua ni zanzibar.historia ya zanzibar inapotoshwa na wtanganyika kwa sababu wanataka kujihalalisha kwambo wao ndio walikua wanzanzibar .
 
wazanzibari tushaamua tuamue mara ngapi? Utumwa katu haurudi Zanzibar uwe wa waarabu, wazungu wajarumani , wareno, na watanganyika pia. IACHENI ZANZIBAR IPUMUE
 
wazanzibari tushaamua tuamue mara ngapi? Utumwa katu haurudi Zanzibar uwe wa waarabu, wazungu wajarumani , wareno, na watanganyika pia. IACHENI ZANZIBAR IPUMUE
Baraghash,
Kweli wewe unaamini kuwa kuna Waarabu wanataka kuifanya Zanzibar koloni
lao?

Kama kuamua Wazanzibari wameshaamua mara tano katika chaguzi tano toka
mwaka wa 1995 wameikataa CCM Zanzibar.

Kwa mara tano CCM Zanzibar haijaweza kushinda uchaguzi.
Vipi hili linataka kufanywa ni tatizo la Waarabu?

Muarabu gani aliyepiga kura Zanzibar?
Anaetaka kupumua hakika si CCM Zanzibar.
 
Wazanzibar wataamua, lakini utumwa wa Waarabu Hautaruhusiwa Kurejea, Kama nchi lazima tuwe makini na Oman, wapokatika harakati za muda mrefu za kuitawala upya Zanzibar, wachangiaji wa uzi huu pitieni upya kitabu cha "KWA HERI UKOLONI KWA HERI UHURU" na nina isiyo nzuri ya WAOMAN na nchi hii, Bila shaka wanandoto za Oversees territories na Zanzibar ni kipaumbele
Stormryder,
Tatizo sio Muarabu yoyote.
Tatizo ni kuwa CCM Zanzibar imekataliwa na Wazanzibari wenyewe.

Chaguzi hata moja CCM Zanzibar haijaweza kushinda juu ya kuweka
kila aina ya vizingiti.

Ndani ya nafsi zao hili wanalijua.
Oman itake ''overseas territory'' kwa shida gani khasa waliyokuwanayo?
 
Baraghash,

..huenda Znz ingekuwa kama Mauritius, Seychelles, au visiwa vingine vilivyotawaliwa na Wazungu kama Mwarabu asingetawala hapo.

..lingine ambalo halisemwi ni kwamba kuna kipindi Znz ilikuwa tajiri kuliko Oman. Hali hiyo ndiyo ikapelekea mmoja wa ma-Sultani kuhamishia makao yake hapo Znz.

..lakini vilevile ni lazima ukumbuke kwamba sehemu kubwa ya utajiri na biashara ya Znz wakati wa utawala wa Sultani wa Kiarabu ilihusisha watumwa na mali kutoka Tanganyika na maeneo mengine ya bara.

..Kwa maneno mengine, ZNZ ilineemeka kupitia JASHO na DAMU ya WATANGANYIKA na jamii nyingine za Kiafrika.

..Siyo jambo la ajabu kwamba leo Tanganyika ina mabavu zaidi ya Znz. Hata Marekani iliwahi kuwa koloni la Waingereza, lakini leo hii Uingereza imegeuka kuwa kibaraka tu wa Wamarekani. Lipo la kujifunza hapa.

cc Mohamed Said, stormryder , MsemajiUkweli
 
JokaKuu;
Tatizo ndugu zetu Wazanzibari ni wanafiki!

Nilijaribu kuelezea kidogo kuhusu historia na tabia za Wazanzibari katika mada/thread hii,
 
Tatizo ndugu zetu Wazanzibari ni wanafiki!

Nilijaribu kuelezea kidogo kuhusu historia na tabia za Wazanzibari katika mada/thread hii,
Hivi kuna unafiki upi mkubwa kwa mtanganyika mmoja kuitoa roho mbichi tanganyika tena mchana kweupe?hivi leo atokee mtanganyika mwengine aseme kwa utashi wake wa kisiasa na tanzania aitoe roho kama ilivyokuwa kwa nyerere je nd
ugu zanguni watanganyika mtakuwa mgeni wa nani nyie?zanzibar itabaki zanzibar milele.
 
Nijuavyo mm mkoloni aliebaki zanzibar mpaka sasa ni mkoloni mweusi,nae akipenda asipende ataondoka kama walivyoondoka wakoloni wenzake ni swala la muda tu,kwetu sisi wazanzibar ukoloni hauna rangi.
Ataondoka sawa lakini global warming ikipamba moto kakisiwa kenu kakamezwa na bahari msije bara kutusumbua. Mzame nako!
 
Wacha uwongo huo.. Sheni ni Pemba fyoko kabisa hana hata asili ya tanga.. kwa sababu ni CCM na amekuwa raisi na huko nyuma mlikuwa mnasema watu wa unguja(CCM) wanakubagueni na ndiyo maana hampewi raisi kutoka Pemba baada ya shein kuchaguliwa bila ya aibu mkaanzisha propaganda ya kuwa si mpemba... Vuai kwao si Mombasa bali ni mtu wa Urowa(wilaya ya kati unguja)..Jecha si kwao tabora bali yeye ni mtumbatu kutoka KIBENI wilaya ya ya kaskazini A unguja na Seif Ali iddi ni mtu wa Donge wilaya ya Kaskazini B Unguja. Cha kushangaza mtu anatoka Pemba leo anakuja Unguja anamkaribisha na mkizozana kidogo kwenye siasa anakumbia wewe Zanzibar siyo kwenu.. Na hicho ndiyo kinachowaponza ndugu zangu wa kipemba wanahisi wao wana haki Zaidi unguja kuliko yuko Muunguja ambao wazazi wake wapo for generation.
Tuje kuhusu waomani watu wanasema wameenda kuitwa kuja kuiokoa Zanzibar kutoka kwa wareno lakini historia haionyrshi kitu hicho kama kimetokea. Mimi sifikirii kama walikuja kuwaokoa watu wa Zanzibar kwani walipofika tu baada ya miaka michache wameshapora Zaidi ya 80 ya ardhi yote imekuwa yao na wakawaacha wale wenyeji walio wakuta kuwa watumwa katika nchi yao wenyewe.na sifikii kama leo kuna mzanzibar amabae ana miss utawala wa mu oman Zanzibar pengine utakuwa wewe na wenzako wachache.kwani bora tufe njaa lakini tuko huru kutiko biryani(leftover) lakini watumwa.

Uhuru ndio huu , wa kuingiliwa majumbani kukamatwa na kusekwa jela za Tanganyika ??
 
Ndivyo unavyodanganywa kanisani na padri wako ??
Padri wa wapi tena ndugu? Na Padri anaingiaje hapa? Na ananihusuje mimi? Kuna Padri anayefanya utafiti wa Global Warming?

Karibu kila mwanasayansi anakubali kuwa Global Warming itameza tuvisiwa twingi tu. Pengine uthibitishe kuwa hako ka kwenu ni exception. Na wakati ukifika padri wala shehe hatawasaidia. Mi nasema tu kwa sababu ya chuki zenu wakati ukifika msihangaike kuja kutubugudhi Tanganyika. Go down with your beloved island muwahi kwenda kufaudu mabikra huko muendako. Ni hilo tu ma braza!
 
Back
Top Bottom