Bila Ukristo Dunia ingekalika? Mfano, Myahudi apigwe na kulemewa na Irani, Waarabu wangeandamana kupinga mauwaji ya wayahudi?

Nsanzagee

JF-Expert Member
Jun 28, 2023
2,209
4,767
Historia haisemi kabisa kabisa iwapo kuna taifa la Kiislamu limewahi kuandamana kupinga mauwaji ya Wakirsto na ama Wayahudi na bila shaka ni tangu Uislamu uwahi kuwepo Duniani, hii ni tofauti kabisa na Ukristo, wapo tayati kupigwa risasi na maasikari wa nchi zao kuwaandamania Waisilamu kupinga mauwaji yanayofanywa dhidi yao!😢

Wakristo ni watu wasitarabu na wenye kujali sana, na upendo wao na huruma kwa kila mtu bila kujali dini, ni huruka yao na maisha ya halisi ya kiongozi wao na mwokozi wao Bwana Yesu Kristo

Upendo wa Yesu aliouonyesha kwa dunia nzima, kwa kujitoa yeye mwenyewe kubeba dhambi na makosa ya walimwengu wote, kuwafia watu wote kwa kujitoa sadaka ya mwili wake na kumwaga damu ili kulipia deni zote za watu wote na wao wawe huru na kisha waurithi uzima wa milele, ni wa kuangaliwa sana na kustajabiwa na kila mtu mwenye akili timamu

Na kwa upendo huo, kwa wanaomfuata, wameuvaa na kuwaonesha watu wote ulimwenguni kwamba, wao wanahuruma za kama Kiongozi wao YESU mioyoni mwao, wako tayari kuwatetea watu wote bila kujali matendo yao ya wanaowatetea,

Ikumbukwe pia kwamba, Wapalestine ndio walioanza kuichokoza Israel

Kutokana na hayo, mimi najiuliza tu, Ingekuwa Wayahudi ndio wanaopigwa na kuteswa na Wapalestine na ama Irani na ama nchi yoyote ya Kiisilamu, Je, nchi za Kiislamu na waislamu kote walipo, wangeandamana kupinga mauwaji hayo kwa Wakristo au wasio wa dini ya Kiislamu? Au wengeendelea kufurahia kwamba wanaokufa ni makafiri?

Tuna nchi kama ya Nigeria ambako wakristo wanapukutika kwa kuuliwa waziwazi na Waislamu, sjawahi kuona hata tamko tu la nchi yoyote ya Kiarabu au ya Kiislamu kulaani mauwaji hayo zaidi ya haohao Wakristo kutoka kwenye nchi za Kikristo

Nahitimisha kusema, iwapo Dunia nzima ingeishi kwa namna Wakristo waishivyo, kusingekuwa na mauwaji haya yanayoendelea leo, Dunia ingekuwa paradise!

Hongereni sana Mataifa ya Kikristo kwa kuandamana kwa ajiri ya kuwatetea warabu na waislamu ambao ki ukweli kabisa, hawajawahi kuwapenda Wakristo na au kuwaona kuwa nao ni watu wanaostahili kuishi!

Hongerni Wamarekani, wafaransa, Wahispain na nchi nyingi zenye wakristo wengi zinazoandamana kwa ajiri wa Waislamu wa Palestine

Mathanzua . Malaria 2

FaizaFoxy tuishini kwa upendo tu na amani
 
Kwani wayahudi ni wakristo ..kuna wahindu . ..baniani..
Kitabu chao ni kipi kati ya Quran na Biblia?

Kama ni Biblia, basi zungumza mengine, wao kutokuwa Wakrsto wakati huo huo wanatumia Biblia ambayo inatumika pia kwa Wakristo, bado wananafasi ya kuitwa ni wanaotokana na Ukristo ijapokuwa wao wamekataa jina Kristo na siku ya Nwisho Biblia imesema, watamkiri kuwa yeye kweli ndiye Kristo
 
Hakuna uhusiano wa ukristo na Amani ya dunia...

Labda kama unataka kutetea dini yako.

Amani ya dunia imeletwa na sheria za haki za kibinadamu zilizo piganiwa na kutetewa mara nyingi sana na wanaharakati.

Dini zimeleta mpasuko mkubwa na utengano mkubwa wa watu katika jamii, Kila mtu akidai na kutetea dini yake ndio ya kweli na haki.
 
Tena wewe usiyeamini Mungu ungekuwa tageti ya kwanza bila ukristo.
 
Vita ya msalaba (Crusades) ilipiganwa kati ya karne 11-13 baada ya Papa Urban alipotoa wito wa Wakristo wa Ulaya kuchukua Silaha kuelekea mashariki ya kati kwenda kuikomboa ardhi ya Jerusalem ilikuwa ikikaliwa na Waislamu.

Kwa bahati mbaya vita hivi havikuwalenga Waislamu pekee ila ata wale walikuwa Waumini wa kikristo wa kanisa la Orthodox nao waliua sana na Wakristo wa Ulaya, Mpaka leo bado haijajulikana kama issue ilikuwa dini kwanini Wakristo wa kiorthodox waliuawa.
 
Hakuna uhusiano wa ukristo na Amani ya dunia...

Labda kama unataka kutetea dini yako.

Amani ya dunia imeletwa na sheria za haki za kibinadamu zilizo piganiwa na kutetewa mara nyingi sana na wanaharakati.

Dini zimeleta mpasuko mkubwa na utengano mkubwa wa watu katika jamii, Kila mtu akidai na kutetea dini yake ndio ya kweli na haki.
Asante mkuu kwa mchango usioegemea kokote licha kwamba ukweli umeukataa na kuacha kuchangia hoja
 
Historia haisemi kabisa kabisa iwapo kuna taifa la Kiislamu limewahi kuandamana kupinga mauwaji ya Wakirsto na ama Wayahudi na bila shaka ni tangu Uislamu uwahi kuwepo Duniani, hii ni tofauti kabisa na Ukristo, wapo tayati kupigwa risasi na maasikari wa nchi zao kuwaandamania Waisilamu kupinga mauwaji yanayofanywa dhidi yao!😢

Wakristo ni watu wasitarabu na wenye kujali sana, na upendo wao na huruma kwa kila mtu bila kujali dini, ni huruka yao na maisha ya halisi ya kiongozi wao na mwokozi wao Bwana Yesu Kristo

Upendo wa Yesu aliouonyesha kwa dunia nzima, kwa kujitoa yeye mwenyewe kubeba dhambi na makosa ya walimwengu wote, kuwafia watu wote kwa kujitoa sadaka ya mwili wake na kumwaga damu ili kulipia deni zote za watu wote na wao wawe huru na kisha waurithi uzima wa milele, ni wa kuangaliwa sana na kustajabiwa na kila mtu mwenye akili timamu

Na kwa upendo huo, kwa wanaomfuata, wameuvaa na kuwaonesha watu wote ulimwenguni kwamba, wao wanahuruma za kama Kiongozi wao YESU mioyoni mwao, wako tayari kuwatetea watu wote bila kujali matendo yao ya wanaowatetea,

Ikumbukwe pia kwamba, Wapalestine ndio walioanza kuichokoza Israel

Kutokana na hayo, mimi najiuliza tu, Ingekuwa Wayahudi ndio wanaopigwa na kuteswa na Wapalestine na ama Irani na ama nchi yoyote ya Kiisilamu, Je, nchi za Kiislamu na waislamu kote walipo, wangeandamana kupinga mauwaji hayo kwa Wakristo au wasio wa dini ya Kiislamu? Au wengeendelea kufurahia kwamba wanaokufa ni makafiri?

Tuna nchi kama ya Nigeria ambako wakristo wanapukutika kwa kuuliwa waziwazi na Waislamu, sjawahi kuona hata tamko tu la nchi yoyote ya Kiarabu au ya Kiislamu kulaani mauwaji hayo zaidi ya haohao Wakristo kutoka kwenye nchi za Kikristo

Nahitimisha kusema, iwapo Dunia nzima ingeishi kwa namna Wakristo waishivyo, kusingekuwa na mauwaji haya yanayoendelea leo, Dunia ingekuwa paradise!

Hongereni sana Mataifa ya Kikristo kwa kuandamana kwa ajiri ya kuwatetea warabu na waislamu ambao ki ukweli kabisa, hawajawahi kuwapenda Wakristo na au kuwaona kuwa nao ni watu wanaostahili kuishi!

Hongerni Wamarekani, wafaransa, Wahispain na nchi nyingi zenye wakristo wengi zinazoandamana kwa ajiri wa Waislamu wa Palestine

Mathanzua . Malaria 2

FaizaFoxy tuishini kwa upendo tu na amani
Hoja yako mfu,,, kinachofanya wanavyuo wa kimarekani kuandamana ni utu na wala sio dini,, kwa kuwa kule gaza mpaka makanisa yapo,, kwa nini nchi yao itoe sapoti watoto na akina mama wauliwe bila hatia!! Hii ndio hoja yao na wala sio dini,, tuliosoma kyuba tushajua uzi wako unalenga nini,,,
 
Tena wewe usiyeamini Mungu ungekuwa tageti ya kwanza bila ukristo.
Dini lazima ziwe controlled na sheria maana bila hivyo, Kila mtu atataka dini yake ndio iwe katiba ya kuongoza nchi nzima.

Kama wafanyavyo Taliban kule Afghanistan, Mamia ya raia wanateseka kwa sababu ya falsafa uchwara za kidini.

Eti mabinti wasisome na kwenda shule wabaki nyumbani wakisali na kuhudumia wanaume.

Huu ni ushenzi wa kidini ambao bila kudhibitiwa unge tapakaa kila sehemu
 
Hoja yako mfu,,, kinachofanya wanavyuo wa kimarekani kuandamana ni utu na wala sio dini,, kwa kuwa kule gaza mpaka makanisa yapo,, kwa nini nchi yao itoe sapoti watoto na akina mama wauliwe bila hatia!! Hii ndio hoja yao na wala sio dini,, tuliosoma kyuba tushajua uzi wako unalenga nini,,,
Mkuu, ukiacha jaziba, utajidiri kiutu zaidi na kuuelewa ukweli
 
Asante mkuu kwa mchango usioegemea kokote licha kwamba ukweli umeukataa na kuacha kuchangia hoja
Mkuu,

Ukianza kudai dini yako ya ukristo ina ukweli na mwislamu atakuja hapa kudai dini yake ina ukweli kuliko ya kwako.

Na hapa ndipo vita na mauaji ya kidini huanzia. Kila mtu hudai dini yake ndio ya kweli.

Sasa universal declaration of human rights walitambua hilo mapema kabisa, Kwa kuweka Uhuru wa kila mtu kuabudu na kuamini chochote kile hata jiwe bila kubughudhiwa na mtu wa imani nyingine.
 
Hakuna uhusiano wa ukristo na Amani ya dunia...

Labda kama unataka kutetea dini yako.

Amani ya dunia imeletwa na sheria za haki za kibinadamu zilizo piganiwa na kutetewa mara nyingi sana na wanaharakati.

Dini zimeleta mpasuko mkubwa na utengano mkubwa wa watu katika jamii, Kila mtu akidai na kutetea dini yake ndio ya kweli na haki.
Dini ya mudy ni hatari kwa usalama wa dunia!! Na kama mbabe wa dunia angetokea kwenye dini hiyo, duniani wa kristo wangeishi kwa tabu sana!! Mimi nilichokutana nacho pemba, kilinifanya niamini hiyo sio dini bali......
 
Ni kweli dini zote lazima ziwe controlled kwa sheria kali. Maana bila hivyo Kila mtu atataka dini yake iwe ndio katiba ya kuongoza nchi.

Ukiangalia nchi zinazo ongozwa kwa sheria za kidini kama Iran, Afghanistan, Saudi Arabia n.k Raia wake wengi hawana uhuru na wanateseka sana.

Cristiano Ronaldo alipewa hukumu ya kuchapwa viboko endapo atakanyaga tena ardhi ya Iran, Eti kisa tu alipiga picha na kumkumbatia shabiki wake wa kike wa kiislamu nchini humo, Ambapo kulingana na sheria za Iran ni kosa.
 
Kitabu chao ni kipi kati ya Quran na Biblia?

Kama ni Biblia, basi zungumza mengine, wao kutokuwa Wakrsto wakati huo huo wanatumia Biblia ambayo inatumika pia kwa Wakristo, bado wananafasi ya kuitwa ni wanaotokana na Ukristo ijapokuwa wao wamekataa jina Kristo na siku ya Nwisho Biblia imesema, watamkiri kuwa yeye kweli ndiye Kristo
Wayahudi hawatumii biblia wala quran ..tena kitabu chao kinachuki dhidi wakristu kama ile tamaduni yao ya kuwatemea mate .. ni moja ya maagizo ndani ya kitabu chao .."Tora"
 
Back
Top Bottom